HomeHabariTop Stories

Mwanamke afariki baada ya kuchomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi

Mwanamume mmoja amekamatwa huko New York kuhusiana na kifo cha mwanamke aliyechomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi huko Brooklyn. Kami...

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ateua Baraza jipya la Mawaziri
Ugonjwa wa kichaa cha mbwa unaweza kumpata binadamu kwa kuambukiza
Habari kubwa Magazetini Kenya leo July 1, 2024

Mwanamume mmoja amekamatwa huko New York kuhusiana na kifo cha mwanamke aliyechomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi huko Brooklyn.

Kamishna wa polisi Jessica Tisch alielezea tukio hilo la Jumapili kama “moja ya uhalifu mkubwa ambao mtu anaweza kufanya dhidi ya binadamu mwingine”.

Alisema mwanamke huyo alikuwa kwenye treni ya F kuelekea Brooklyn alipofikiwa na mwanamume aliyetumia njiti kuwasha mavazi yake moto.

Mwathiriwa alifariki katika eneo la tukio, alisema, na kuongeza kuwa mshukiwa alikamatwa kufuatia taarifa kutoka kwa kundi la wanafunzi wa shule ya sekondari alipokuwa kwenye treni ya chini ya ardhi baadaye Jumapili.

Polisi walisema mwanamke huyo, ambaye hajatajwa jina, alikuwa kwenye treni ya chini ya ardhi katika kituo cha Coney Island-Stillwell Avenue huko Brooklyn yapata saa 07:30 saa za huko (12:30 GMT) wakati mwanamume alipomwendea na kufanya tukio hilo

Hakukuwa na mwingiliano wowote kabla ya shambulio hilo, polisi walisema, na kuongeza kuwa hawakuamini kuwa watu hao wawili walijuana.

Polisi bado wanafanya kazi ya kubaini mwathiriwa na sababu za shambulio hilo

The post Mwanamke afariki baada ya kuchomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/lIqQU1T
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mwanamke afariki baada ya kuchomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi
Mwanamke afariki baada ya kuchomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/mwanamke-afariki-baada-ya-kuchomwa-moto.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/mwanamke-afariki-baada-ya-kuchomwa-moto.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy