Serikali Kuondoa Zuio La Biashara Ya Usafirishaji Wanyamapori Hai Nje Ya Nchi
HomeHabari

Serikali Kuondoa Zuio La Biashara Ya Usafirishaji Wanyamapori Hai Nje Ya Nchi

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Serikali itaondoa zuio la biashara ya usafirishaji wa wanyamapori hai...

Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema aliyehamasisha kuvamia vituo vya kupiga kura Kilimanjaro
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 26, 2024
Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Serikali itaondoa zuio la biashara ya usafirishaji wa wanyamapori hai nje ya nchi lakini wafanyabiashara watatakiwa kuzingatia taratibu za usafirishaji.

Ameyasema hayo JANA bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Eng. Mwanaisha Ulenge aliyehoji lini Serikali itaruhusu usafirishaji wa viumbe hai nje ya nchi.

Mhe. Masanja amefafanua kuwa baada ya Serikali kutathmini kuhusu usafirishaji wa wanyamapori hai nje ya nchi imekubali kuondoa zuio hilo kwa masharti kwamba wanyamapori hai wasafirishwe kwa shughuli za utafiti na kidiplomasia tu; wawe wamekaushwa au ni mazao yatokanayo na wanyamapori na kwamba wasafirishaji hao ni lazima wawe ni wafanyabiashara wenye miradi ya ufugaji wanyamapori ili kuhamasisha uanzishwaji wa miradi ya ufugaji wa wanyamapori.

Aidha, Serikali itatoa muda wa miezi mitatu kuruhusu wafanyabiashara kusafirisha wanyamapori waliosalia kwenye mazizi na mashamba kabla ya zuio ambao walikuwa wanafugwa kwa lengo la kuwasafirisha nje ya nchi.

Serikali ilisitisha biashara ya kusafirisha wanyamapori nje ya nchi tartehe 17/03/2016 baada ya kuonyesha matokeo hasi ya biashara ikiwa ni pamoja na uhamishaji warasilimali za wanyamapori nje ya nchi.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Serikali Kuondoa Zuio La Biashara Ya Usafirishaji Wanyamapori Hai Nje Ya Nchi
Serikali Kuondoa Zuio La Biashara Ya Usafirishaji Wanyamapori Hai Nje Ya Nchi
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgLDNwFJjMhtrEmxg5rpEwvB7P-zDa-Lao8G1FgK5s8t3ZF3Y-wR6N6s4w5Euv3dvOe-nQqYfdiUXHjq40l7fEB9IUNMcAPtAP3Wa9iNrsWbvGYqrDrgXDuiUi_LqPdL8TU296uvBGb7w1Ab-S5uWt8Z20TgzqyetHxNGWxk6UugCYBz1xmGYLguBABdA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgLDNwFJjMhtrEmxg5rpEwvB7P-zDa-Lao8G1FgK5s8t3ZF3Y-wR6N6s4w5Euv3dvOe-nQqYfdiUXHjq40l7fEB9IUNMcAPtAP3Wa9iNrsWbvGYqrDrgXDuiUi_LqPdL8TU296uvBGb7w1Ab-S5uWt8Z20TgzqyetHxNGWxk6UugCYBz1xmGYLguBABdA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/serikali-kuondoa-zuio-la-biashara-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/serikali-kuondoa-zuio-la-biashara-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy