MCHAMBUZI wa mifumo ndani ya kikosi cha Simba, Culvin Mavunga amesema kuwa wanaamini kupitia pre-season wataimarika zaidi na kurejea kwenye ...
MCHAMBUZI wa mifumo ndani ya kikosi cha Simba, Culvin Mavunga amesema kuwa wanaamini kupitia pre-season wataimarika zaidi na kurejea kwenye msimu ujao wakiwa imara.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Simba jana ilikwea pipa kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS