Moshi ukiwa umetanda angani baada ya jengo hilo kushika moto Sehemu ya paa la jengo hilo iliyoungua Baadhi ya vitu vi...

Baadhi ya vitu vilivyookolewa ndani ya vyumba hivyo
Wanafunzi wakijadiliana jinsi ya kufanya
Wanafunzi wakiwa nje ya jengo lililoungua wakati wakitafakari pakwenda |
Moto mkubwa umezuka sehemu ya bweni la wanawake katika hosteli ya Chuo KiKuu cha Dar es Salaam lililopo Mabibo jijini Dar leo asubuhi na kusababisha vitu kadhaa kuungua pamoja na upotevu wa mali.
Katika tukio hilo wanafunzi wawili wamekimbizwa hospitali baada ya kuumia katika purukushani za kujiokoa ambapo mmoja alijirusha kutoka ghorofa ya pili ulipoanzia moto huo na mwingine aliumia kwenye mkanyagano wakati wa kujiokoa.
COMMENTS