HomeHabariTop Stories

Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema aliyehamasisha kuvamia vituo vya kupiga kura Kilimanjaro

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, (42), Mkazi wa Moshi/Arusha, Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia n...

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, (42), Mkazi

wa Moshi/Arusha, Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za kuhamasisha Wananchi kuvamia

makazi ya Wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro.

 

 

Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi Mwandamizi Simon Maigwa amesema Mtuhumiwa huyo amekamatwa baada ya kuonekana kwa video mjongeo iliyosambaa

katika mitandao ya kijamii akiwa anawahamasiha Wananchi kufanya uhalifu huo

Novemba 27, 2024.

Maneno hayo ya kuhamasisha vurugu aliyatamka hadharani Novemba 24, 2024 na

baada ya kutamka waliyasambaza katika mitandao ya kijamii.

 

SACP Maigwa ameongeza kuwa mtuhumiwa huyo anachukuliwa maelezo ili hatua zingine za kisheria ziweze kufuata.

Sambamba na hilo Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linatoa onyo kwa yeyote atakayethubutu kufanya

vitendo vyovyote vyenye viashiria vya uvunjifu wa amani kabla, wakati na baada

uchaguzi hatua stahiki za kisheria zitachukuliwa dhidi yake bila kumwonea muhali.

The post Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema aliyehamasisha kuvamia vituo vya kupiga kura Kilimanjaro first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/vlSOJ0E
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema aliyehamasisha kuvamia vituo vya kupiga kura Kilimanjaro
Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema aliyehamasisha kuvamia vituo vya kupiga kura Kilimanjaro
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/kukamatwa-kwa-mwenyekiti-wa-chadema.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/kukamatwa-kwa-mwenyekiti-wa-chadema.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy