Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka
HomeHabariTop Stories

Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Sharif Ali Sharif amewataka vijana wa Kitanzania kubuni miradi inayoendana ...

Marufuku kupiga picha za viumbe hai Taliban
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 15, 2024
Huduma ya madaktari bingwa wa mama Samia sio sasa :RC Malima

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Sharif Ali Sharif amewataka vijana wa Kitanzania kubuni miradi inayoendana na sera za uwekezaji katika nchi ili waweze kuwa sehemu ya kujenga uchumi wa nchi yao kwa vitendo.

Akizunguza wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za Watendaji wakuu Bora 100 wa mwaka pamoja na wakuu wa taasisi mbalimbali zikiwemo kampuni zilizofanya vizuri mwaka 2024 Waziri Ali Sharif amesema vijana wana nafasi ya kufanya kampuni zao kutambulika katika soko la ndani na nje iwapo watatumia vyema mazingira mazuri ya uwekezaji ndani ya nchi yao.

Nae Mkurugenzi wa Kampuni ya Eastern Star Bw. Deogratius Kilawe ambaye ndie muandaaji wa tuzo hizo kwa ushirikiano wa Kampuni ya The Global CEO Institute

amesema dhumuni la kuandaa Tuzo hizo ni kusherehekea uongozi bora, kukuza uvumbuzi, na kuhamasisha kizazi kijacho cha watendaji pia kukuza na kuweka viwango pamoja na kuleta mabadiliko chanya na matokeo ya kudumu katika tasnia na jumuiya tunazohudumia.

Bw. Kilawe ameongeza kuwa ugawaji wa tuzo hizo umezingatia ubora wa kazi zilizofanywa na washiriki huku baadhi ya washindi wakisema tuzo hizo zinatia chachu kwa Kampuni za Kitanzania kuendelea kufanya vizuri mwaka hadi mwaka kwa kubuni bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko la Kimataifa.

 

The post Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Z71Mzp3
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka
Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/IMG-20241125-WA0102.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/tuzo-za-watendaji-wakuu-bora-100-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/tuzo-za-watendaji-wakuu-bora-100-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy