GRANIT BADO YUPOYUPO ARSENAL, ARTETA KASEMA
HomeMichezo

GRANIT BADO YUPOYUPO ARSENAL, ARTETA KASEMA

  MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa mchezaji wake Granit Xhaka ataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho. Xhaka alikuwa an...

ARSENAL KAZINI LEO LIGI KUU ENGLAND
MSIMU MPYA, VIBE JIPYA NDANI YA EPL NA LALIGA WIKIENDI HII
LUKAKU ACHEKELEA KURUDI CHELSEA

 


MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa mchezaji wake Granit Xhaka ataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho.

Xhaka alikuwa anahusishwa kujiunga na AS Roma msimu ujao ambayo kwa sasa inanolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho.

Kiungo huyo mkabaji kwa sasa amesaliwa na misimu miwili ndani ya Arsenal kwa kuwa mkataba wake utameguka msimu wa 2023.

Arteta amesema:"Granit ataendelea kuwa na sisi hapa kwani ni moja ya wachezaji muhimu kwetu," . 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GRANIT BADO YUPOYUPO ARSENAL, ARTETA KASEMA
GRANIT BADO YUPOYUPO ARSENAL, ARTETA KASEMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3XMEAYhAbWl7oQ7xJAdYk3mrGWlI-2W7NAEeSfPP1o2e0lZpbo-lY7NjN7lz2wbEIGqz1uJuMh1uIJCHTm9wZibPhzKsMLBlH94Nwin4iQnERstjs6llOjcMYar5DnLmm_ZothT4E6uJp/w640-h442/Granit.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3XMEAYhAbWl7oQ7xJAdYk3mrGWlI-2W7NAEeSfPP1o2e0lZpbo-lY7NjN7lz2wbEIGqz1uJuMh1uIJCHTm9wZibPhzKsMLBlH94Nwin4iQnERstjs6llOjcMYar5DnLmm_ZothT4E6uJp/s72-w640-c-h442/Granit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/granit-bado-yupoyupo-arsenal-arteta.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/granit-bado-yupoyupo-arsenal-arteta.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy