KAZE:KUPOTEZA KWETU NI FUNZO, BADO HATUJAKATA TAMAA
HomeMichezo

KAZE:KUPOTEZA KWETU NI FUNZO, BADO HATUJAKATA TAMAA

  CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kichapo walichokipata mbele ya Coastal Union ni funzo kwao ili kuweza kufanya vizuri kwey...


 CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kichapo walichokipata mbele ya Coastal Union ni funzo kwao ili kuweza kufanya vizuri kweye mechi zao zijazo na hawana wa kumlaumu ndani ya uwanja .

Machi 4, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwenye harakati za kusaka pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Coastal Union 2-1 Yanga.

Ushindi huo kwa Coastal Union unawafanya iwe timu ya kwanza kushinda mbele ya Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 kwa kuwa ilicheza jumla ya mechi 21 bila kuambulia maumivu ya kufungwa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Kaze amesema kuwa vijana wake walipambana kusaka ushindi ila mambo yalikuwa magumu kwao hivyo hawana wa kumlaumu.

“Ilikuwa ni kazi kubwa kwa vijana na walipambana kusaka ushindi ila haikuwa na namna kwetu tukapoteza na kwa sasa tunajipanga kwa ajili ya mechi zetu zijazo hakuna wa kumlaumu.

“Niseme kwamba kupoteza kwetu ni sehemu ya mchezo na tutajipanga kwa ajili ya mechi zetu zijazo mashabiki watupe sapoti bado tupo imara,” amesema.


Leo Machi 7, Polisi Tanzania inawakaribisha Yanga kenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Mzunguko wa kwanza walipokutana uwanjani ubao ulisoma, Yanga 1-0 Polisi Tanzania hivyo leo utakuwa ni mchezo wa kulipana kisasi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KAZE:KUPOTEZA KWETU NI FUNZO, BADO HATUJAKATA TAMAA
KAZE:KUPOTEZA KWETU NI FUNZO, BADO HATUJAKATA TAMAA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhA9DdDx0LYgFhsTJKIF9zHKWYJV1DwhKI0f-WTJt-e4Ft5nlLsCEpaSfqAk5ST739MwGBI4yXFvbugAIN-HcujtV6vVVXlksed-U-PtCspmyzWIgsMzxKXjYsZOFXqnn8DchDOdUW8K1dU/w640-h426/IMG_2031.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhA9DdDx0LYgFhsTJKIF9zHKWYJV1DwhKI0f-WTJt-e4Ft5nlLsCEpaSfqAk5ST739MwGBI4yXFvbugAIN-HcujtV6vVVXlksed-U-PtCspmyzWIgsMzxKXjYsZOFXqnn8DchDOdUW8K1dU/s72-w640-c-h426/IMG_2031.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kazekupoteza-kwetu-ni-funzo-bado.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kazekupoteza-kwetu-ni-funzo-bado.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy