MAPAMBANO YANAENDELEA KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA
HomeMichezo

MAPAMBANO YANAENDELEA KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA

  Vita vikali kuendelea msimu huu wa 20/21 kwenye ligi mbalimbali barani ulaya. Ikiwa tunaelekea ukingoni kabisa mwa ligi hizo na kujiandaa...

PSG NYUMBANI KUWAVAA CITY LEO
VIDEO: YANGA WALIKATIA TAMAA KOMBE LA LIGI KUU BARA, KILIO CHAO KWA VIONGOZI
VIDEO: KIPA WA DODOMA JIJI AKUBALI UWEZO WA SIMBA

 

Vita vikali kuendelea msimu huu wa 20/21 kwenye ligi mbalimbali barani ulaya. Ikiwa tunaelekea ukingoni kabisa mwa ligi hizo na kujiandaa na usajili mapema mwezi Juni kwa ajili ya msimu ujao, meridianbet inakupa Bonasi Kubwa, Odds za Kibabe na Ofa kedekede. Bashiri na Meridianbet na ushinde!

 


Jumanne hii katika EPL, Chelsea atamkalibisha Leicester City katika viwanja vya nyumbani Darajani, huku wakipambania nafasi ya tatu ambapo wamepishana pointi mbili. Je, Chelsea watatusua pointi 3 na kuchukua nafasi ya Leicester City? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.77 kwa Chelsea.

 

Huko huko kwenye EPL, Manchester United watamenyana na Fulham katika uwanja wa mashetani wekundu Old trafford. Huku Meridianbet tumewawekea Odds ya 1.35 kwa Manchester.

 

Jumatano hii kwenye EPL, Everton watakutana na Wolves kwenye uwanja wa Goodison Park, huku Everton wakifukuzia nafasi ya 7 ambayo imeshikwa na West Ham wakiwa wamepishana na Pointi 3. Je, Everton wataweza kutwaa pointi 3 hizo kutoka kwa Wolves? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.00 kwa Everton. 

 

Alhamisi hii kwenye Ligi ya Belgian First Division A, Genk watachuana na Antwerp kwenye uwanja wa nyumbani wa Cristal arena, huku Genk akiikimbiza nafasi ya tatu ilioshikwa na Anderlecht na wakiwa wamepishana pointi 2 tu.

 

 Je, Genk watafanikiwa kunyaka pointi 3 hizo kwa Antwerp ambao wameshika nafasi ya pili kwenye Ligi hiyo? Meridianbet tumewawekea Odds ya 1.80 Genk.

Meridianbet, Odds Kubwa, Bonasi za kumwaga na Ushindi lazima!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAPAMBANO YANAENDELEA KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA
MAPAMBANO YANAENDELEA KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgM35A08n23cX5BLoFp01Itsl4I6amUfHddIJA_Q-yRJIF8tazWzLT-p1kDwsws34IFsHeE-dORd-y7s27gcGpt68nEL9v26jihqOJ0zYFU5pgxZ4aVwWcTuIW7X0pISeKKtz3DJzd0H5JV/w640-h480/chemnc_1.webp
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgM35A08n23cX5BLoFp01Itsl4I6amUfHddIJA_Q-yRJIF8tazWzLT-p1kDwsws34IFsHeE-dORd-y7s27gcGpt68nEL9v26jihqOJ0zYFU5pgxZ4aVwWcTuIW7X0pISeKKtz3DJzd0H5JV/s72-w640-c-h480/chemnc_1.webp
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mapambano-yanaendelea-katika-ligi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mapambano-yanaendelea-katika-ligi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy