ISHU YA KANE KUSEPA SPURS BADO NGOMA NZITO
HomeMichezo

ISHU YA KANE KUSEPA SPURS BADO NGOMA NZITO

IMERIPOTIWA kuwa mabosi wa Tottenham wameziambia timu ambazo zinahitaji kupata saini ya mshambuliaji wao Harry Kane ziache mara moja kwa k...


IMERIPOTIWA kuwa mabosi wa Tottenham wameziambia timu ambazo zinahitaji kupata saini ya mshambuliaji wao Harry Kane ziache mara moja kwa kuwa hesabu zao ni kwenye mechi zao za Ligi Kuu England ambazo ni za lala salama.

Taarifa zilieleza kuwa Jumatatu, Mei 17, Kane aliwaambia mabosi wake kuwa anahitaji kuuzwa msimu ujao ili kupata changamoto mpya jambo ambalo limekuwa  likiwavuruga mabosi hao.

Timu ambazo zimekuwa zikitajwa kuhitaji saini ya nyota huyo kwa sasa ni pamoja na Manchester City inayonolewa na Kocha Mkuu Pep Guardiola, Manchester United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunner Solkjaer pamoja na Chelsea ambazo zinashiriki Ligi Kuu England pia Barcelona na Real Madrid ambazo zinashiriki La Liga nazo zimekuwa zikitajwa kuwania saini ya nyota huyo.

Taarifa rasmi kutoka Klabu ya Spurs ilieleza kwa kifupi kujibu taarifa ya nyota Kane ambaye anahitaji kupata changamoto mpya ilieleza kuwa kwa sasa malengo yao na hesabu zao zote ni kwenye mechi zilizobaki kwa ajili ya kumalizia msimu wa Ligi Kuu England ambapo timu hiyo imebakiza mechi mbili.

"Mtazamo wetu mkubwa kwa sasa ni kwenye mechi ambazo zimebaki kwa ajili ya kumaliza msimu, mambo mengine hatuyatazami kwani hili suala kila mmoja anapaswa kuliangalia kwa umakini,".





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA KANE KUSEPA SPURS BADO NGOMA NZITO
ISHU YA KANE KUSEPA SPURS BADO NGOMA NZITO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg81LNcu5CPoSLvweBnrRrw8x2MHVRMI1o_cSUP4vYYGCB7SE_5olKN3F79R5Tt3JWF8NIL0p63v3Awp-uyod5fkm11O8XBT6Z9YnqoOzJv8DoZwN_u4T-69FkjI4XS76gDwwa7RSnEVwHt/w640-h408/Kane+kushangilia.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg81LNcu5CPoSLvweBnrRrw8x2MHVRMI1o_cSUP4vYYGCB7SE_5olKN3F79R5Tt3JWF8NIL0p63v3Awp-uyod5fkm11O8XBT6Z9YnqoOzJv8DoZwN_u4T-69FkjI4XS76gDwwa7RSnEVwHt/s72-w640-c-h408/Kane+kushangilia.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/ishu-ya-kane-kusepa-spurs-bado-ngoma.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/ishu-ya-kane-kusepa-spurs-bado-ngoma.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy