HomeMichezo

VIDEO:GOMES:LAZIMA TUWE TAYARI,AWACHAMBUA WACHEZAJI WAKE

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Bot...

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO BONGO
BARCELONA KUKIWASHA NA PSG LEO LIGI YA MABINGWA
BIASHARA UNITED YATAKA KUFANYA BIASHARA NA SIMBA
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana unaotarajiwa kuchezwa nchini Botswana, Oktoba 17 na ule wa marudio unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 22.

 Gomes ameweka wazi kuwa ishu kubwa ambayo inawatesa kwa sasa ni suala la wachezaji wake kuwa majeruhi ikiwa ni pamoja na Sakho ambaye aliumia kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji hivyo bado hajawa tayari.

 Licha ya yote hayo Gomes amesema kuwa ni lazima wawe tayari kwa aili ya kupambana na anaamini kwamba mchezo huo hautakuwa mwepesi lazima utakuwa mgumu kwa namna yoyote ile ila kazi yao ni kuweza kusaka matokeo.

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: VIDEO:GOMES:LAZIMA TUWE TAYARI,AWACHAMBUA WACHEZAJI WAKE
VIDEO:GOMES:LAZIMA TUWE TAYARI,AWACHAMBUA WACHEZAJI WAKE
https://i.ytimg.com/vi/QXu-ByTUhUI/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/QXu-ByTUhUI/default.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/videogomeslazima-tuwe-tayariawachambua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/videogomeslazima-tuwe-tayariawachambua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy