DE GEA ATAONDOKA MANCHESTER UNITED
HomeMichezo

DE GEA ATAONDOKA MANCHESTER UNITED

  MKONGWE  wa Manchester  United, Rio Ferdinand amesema  kitendo cha kipa David De Gea  kuwekwa benchi ni wazi staa huyo  hataendelea kusa...


 MKONGWE wa Manchester United, Rio Ferdinand amesema kitendo cha kipa David De Gea kuwekwa benchi ni wazi staa huyo hataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho.

 

Hii ni baada ya De Gea kuwekwa benchi hivi karibuni katika mchezo wa Premier League dhidi ya Brighton wakati Man United ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1.

 

Kocha Ole Gunnar Soskjaer hivi karibuni amenukuliwa akisema kuwa anapata mtihani kuwa kuchagua kati ya De Ge ana Dean Henderson atakuwa kipa namba moja.

 

“Kwenye soka unaweza kuwa na nafasi mbili ya kuchagua kwamba kuwania nafasi yako au kuamua kuondoka kuangalia sehemu nyingine.

 

“Kama Dean Henderson atamaliza msimu huu akitumika kama kipa namba moja, lakini siyo De Gea anaendelea kubaki Man United kwa hali hiyo anaweza kuondoka.

 

“Mshahara wake ni mkubwa lakini hiyo haijalishi mwisho wa siku kama huna nafasi ndani ya timu inakuwa haina maana.


“De Gea anaweza kubaki ndani ya timu au Ole anaweza kuona mambo tofauti. Kwa sasa anamuweka Henderson mbele, lakini De Gea atakubali hali hiyo na kuendelea kukaa hapo.


“Henderson ametafuta nafasi kwa muda mrefu sasa amepata, lakini pia Ole ameona kitu ndani yake ndiyo maana ameamua kumpa nafasi sasa kuweza kukionyesha, De Gea atamsapoti, ila ataumia moyoni," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DE GEA ATAONDOKA MANCHESTER UNITED
DE GEA ATAONDOKA MANCHESTER UNITED
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgH2sgkqUF0qtbfF21B6w7dCUU1O8prkMrFU9kzSLK1EihH7TntCl8_7HjW5AzV43zAeXxuNxNnukyvYVyGtljRFX67oYgGQdBJ99ACLQKlJyPOmM130tjJG52xCur4tqHOlzOxMzhXOztX/w640-h426/De+gea+kazini.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgH2sgkqUF0qtbfF21B6w7dCUU1O8prkMrFU9kzSLK1EihH7TntCl8_7HjW5AzV43zAeXxuNxNnukyvYVyGtljRFX67oYgGQdBJ99ACLQKlJyPOmM130tjJG52xCur4tqHOlzOxMzhXOztX/s72-w640-c-h426/De+gea+kazini.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/de-gea-ataondoka-manchester-united.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/de-gea-ataondoka-manchester-united.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy