YANGA: MASHABIKI VIMBENI, BADO TUPO IMARA
HomeMichezo

YANGA: MASHABIKI VIMBENI, BADO TUPO IMARA

  UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki wake kuendelea kuwa na furaha kwa kuwa bado wapo imara na wanaamini watafanya vizuri kwenye mechi ...

ISHU YA UCHAGUZI TFF, MAHAKAMA YATOA MAAMUZI
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
GOMES ATAJA KAZI YA BOCCO, MUGALU NA KAGERE KWA YANGA

 


UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki wake kuendelea kuwa na furaha kwa kuwa bado wapo imara na wanaamini watafanya vizuri kwenye mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya kwanza na pointi 50 baada ya kucheza mechi 23 inafuatiwa na Simba iliyo nafasi ya pili baada ya kucheza mechi 20 ina pointi 46.

Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa hakuna ambacho wamepoteza kwa sasa kwani kila kitu kipo kwenye mipango sahihi.

"Mashabiki wetu wanapaswa kuvimba huko walipo na kutamba kwa kuwa bado tupo imara na tunaongoza ligi hilo lipo wazi.

"Kuwa wanyonge haipendezi kwani tuna wachezaji wazuri ambao wanajua kutimiza majukumu yao, bado kazi ipo na tunaamini kwamba tutafikia malengo yetu bila mashaka yoyote yale," amesema.

Mchezo wao ujao kwenye ligi Yanga ni dhidi ya KMC unatarajiwa kuchezwa Aprili 10, Uwanja wa Mkapa, walipokutana mzunguko wa kwanza ubao wa CCM Kirumba ulisoma KMC 1-2 Yanga.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: MASHABIKI VIMBENI, BADO TUPO IMARA
YANGA: MASHABIKI VIMBENI, BADO TUPO IMARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqduL4RRP8hQ7tJJzxcsaKLYE7snAIgEyYnqMz1FjmBkNOiKnUWtCBgbgihcAPjBdCqQaHu9VHSwBGyV5JxOSjSiGWHKZpNSAG-r7fL-9e8A4e3ryrqttNNXLJO1wGzO80TtkU_4UBd0Q5/w640-h640/IMG_20210407_065150_250.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqduL4RRP8hQ7tJJzxcsaKLYE7snAIgEyYnqMz1FjmBkNOiKnUWtCBgbgihcAPjBdCqQaHu9VHSwBGyV5JxOSjSiGWHKZpNSAG-r7fL-9e8A4e3ryrqttNNXLJO1wGzO80TtkU_4UBd0Q5/s72-w640-c-h640/IMG_20210407_065150_250.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-mashabiki-vimbeni-bado-tupo-imara.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-mashabiki-vimbeni-bado-tupo-imara.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy