BIASHARA UNITED YATAKA KUFANYA BIASHARA NA SIMBA
HomeMichezo

BIASHARA UNITED YATAKA KUFANYA BIASHARA NA SIMBA

 FRANCIS Baraza,Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa wamejipanga kupata pointi tatu mbele ya wapinzani wao Simba kwenye mchezo wao w...


 FRANCIS Baraza,Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa wamejipanga kupata pointi tatu mbele ya wapinzani wao Simba kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Februari 18, Uwanja wa Karume.

Ikiwa lengo la Baraza litafanikiwa itakuwa imefanya biashara ya kusepa na pointi tatu mbele ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara.

Biashara United inakumbuka kwamba mzunguko wa kwanza ilipoteza pointi tatu mbele ya Simba kwa kufungwa mabao 4-0, Uwanja wa Mkapa.

Kwenye mchezo wao wa mwisho  ndani ya Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Mwadui FC  hivyo itaingia ndani ya uwanja kwa kujiamini.

Kocha huyo ambaye mkononi ana tuzo ya kocha bora wa mwezi januari amesema kuwa wanahitaji pointi tatu kutoka kwa Simba.

"Ninawaamini wachezaji wangu na tayari maandalizi yameanza kwa ajili ya mchezo wetu muhimu ambao utakuwa na ushindani mkubwa.

"Ninawatambua wapinzani wetu Simba namna ambavyo wanacheza pamoja na ubora wao, hatutawabeza tutawaheshimu, ina wachezaji wazuri ila wajue kwamba hata sisi tuna wachezaji wazuri," .

Biashara United ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na pointi 32 na Simba ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 39. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BIASHARA UNITED YATAKA KUFANYA BIASHARA NA SIMBA
BIASHARA UNITED YATAKA KUFANYA BIASHARA NA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCL62_nYzcGPr__iq-2-OpuBjlc0Xe_flSJLPAbhS2tln9Z1NMbKT060lF2P_t8ieSTH1l8Az1NZtlEHfG4HFldgVgfg7BfViuL_EUggIivINAqk5p9PymFfs4-VdZwUP8iWZC5tTBcgcg/w592-h640/Mangalo+v+Kagere.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCL62_nYzcGPr__iq-2-OpuBjlc0Xe_flSJLPAbhS2tln9Z1NMbKT060lF2P_t8ieSTH1l8Az1NZtlEHfG4HFldgVgfg7BfViuL_EUggIivINAqk5p9PymFfs4-VdZwUP8iWZC5tTBcgcg/s72-w592-c-h640/Mangalo+v+Kagere.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/biashara-united-yataka-kufanya-biashara.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/biashara-united-yataka-kufanya-biashara.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy