MITAMBO YA MABAO YAANZA KAZI RASMI YANGA
HomeMichezo

MITAMBO YA MABAO YAANZA KAZI RASMI YANGA

 MITAMBO ya mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze tayari imeanza kazi kujiweka sawa kwa ajili ya mechi ...


 MITAMBO ya mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze tayari imeanza kazi kujiweka sawa kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano mengine.

Yanga ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa inashikilia rekodi ya kukamilisha mzunguko wa kwanza bila kupoteza mchezo.

Imecheza jumla ya mechi 18, imeshinda 13 na kulazimisha sare mechi 5 zinazowafaya wawe na pointi 44 kibindoni.

Mtambo wao wa mabao ambao ulifunga bao la kwanza ndani ya Yanga kwa msimu wa 2020/21 ni Michael Sarpong raia wa Ghana yeye jumla amefunga mabao manne kati ya 29 ambayo yamefungwa.

Nyota huyo alikwenda Ghana kwa ajili ya mapumziko mafupi ila kwa sasa tayari amesharejea ndani ya kikosi hicho ambacho kilianza mazoezi Januari 25, Kigamboni.

Ameungana na mshambuliaji mpya Fiston Abdulazack ambaye amepewa jina la kuwa ni mtambo wa mabao ndani ya Yanga.

Akizungumza na Saleh Jembe, meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesema kuwa maandalizi yapo sawa na kila mmoja anafanya kile ambacho anaambiwa na mwalimu.

"Wachezaji wetu tayari wameanza mazoezi ikiwa ni kwa ajili ya kujiweka sawa na ligi tupo tayari na tunaamini kwamba tutafanya vizuri," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MITAMBO YA MABAO YAANZA KAZI RASMI YANGA
MITAMBO YA MABAO YAANZA KAZI RASMI YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAzvV7x9eslFIXpK3ymFhJHpfa-q6jRRlCND-b6hdot76yQ6wyUR1LQAQsCVhyQsd6T_xUSW7D4JEEh3VfWKwpmrINnPv22mQm1TiUugw3VH1pLH-zqD0LbalvoT4f1r0rwPtiDZ3WSY9X/w638-h640/sarpong+na+Fiston.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAzvV7x9eslFIXpK3ymFhJHpfa-q6jRRlCND-b6hdot76yQ6wyUR1LQAQsCVhyQsd6T_xUSW7D4JEEh3VfWKwpmrINnPv22mQm1TiUugw3VH1pLH-zqD0LbalvoT4f1r0rwPtiDZ3WSY9X/s72-w638-c-h640/sarpong+na+Fiston.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mitambo-ya-mabao-yaanza-kazi-rasmi-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mitambo-ya-mabao-yaanza-kazi-rasmi-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy