AZAM KAMILI GADO KUIVAAA TP MAZEMBE LEO
HomeMichezo

AZAM KAMILI GADO KUIVAAA TP MAZEMBE LEO

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe, utakaochezwa Uwanja wa Azam Compl...




UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe, utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Ikiwa chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina leo Februari 2, Azam FC inatarajia kumenyana na TP Mazembe kwa ajili ya kujiweka sawa na mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa maandalizi yapo tayari na wanaamini watapata matokeo mazuri pamoja na kuimarisha kikosi.

"Kwa timu za Tanzania, ni Azam FC pekee ambayo imeweza kuifunga TP Mazembe ndani ya dakika 90 uwanjani hivyo unaona kwamba rekodi zetu sisi zipo vizuri.

"Julai 16, 2019 kwenye robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame nchini Rwanda, Azam FC tulishinda kwa mabao 2-1.

"Mabao ya Azam FC yaliwekwa kimiani na winga Idd Seleman 'Nado' na mshambuliaji Obrey Chirwa, huku lile la Mazembe likifungwa na Ipamy Giovani.Hapo unaona namna gani tupo vizuri.

"Licha ya kwamba ni mchezo wa kirafiki wachezaji wetu watapambana ili kupata matokeo mazuri na itakuwa ni sehemu ya kazi kwa ajili ya kuelekea kwenye mechi za ligi pamoja na mashindano mengine,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM KAMILI GADO KUIVAAA TP MAZEMBE LEO
AZAM KAMILI GADO KUIVAAA TP MAZEMBE LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXsTAwBYrfOInrglwgf5DqHZBYZ93iS4KtEqqh7AeL_ypwxdQKmc9hQZZuVta3aUWfI0ea8H8AtD2cuRmoxuoA-nqNcWzxdquyjMUwLJ5iAUaTh1zbKzWUTUBLx_lPmx2gIJCsnwUAqKpD/w632-h640/naldo+kazini.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXsTAwBYrfOInrglwgf5DqHZBYZ93iS4KtEqqh7AeL_ypwxdQKmc9hQZZuVta3aUWfI0ea8H8AtD2cuRmoxuoA-nqNcWzxdquyjMUwLJ5iAUaTh1zbKzWUTUBLx_lPmx2gIJCsnwUAqKpD/s72-w632-c-h640/naldo+kazini.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-kamili-gado-kuivaaa-tp-mazembe-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-kamili-gado-kuivaaa-tp-mazembe-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy