KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Septemba 28 kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United ya Mara ...
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Septemba 28 kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United ya Mara ikiwa ni mchezo wao wa kwanza ndani ya msimu wa 2021/22.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Haya yalikuwa ni mazoezi ya mwisho kabla ya kuwakabili Wanajeshi hao wa Mpakani.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS