BIASHARA UNITED INAMSAKA MRITHI WA MIKOBA YA BARAZA
HomeMichezo

BIASHARA UNITED INAMSAKA MRITHI WA MIKOBA YA BARAZA

 SELEMAN Mataso, Mwenyekiti wa Klabu ya Biashara United amesema kuwa mchakato wa kumsaka mrithi wa mikoba ya Francis Baraza bado unaendele...

WEKA KETE KWENYE NAMBA ZAKO ZA BAHATI KWENYE SLOTI EUROPEAN ROULETTE YA KASINO
DIDIER GOMES ASEPA BONGO
JINA LA KIUNGO AZAM FC LAONDOLEWA STARS, MBADALA WAKE HUYU HAPA

 SELEMAN Mataso, Mwenyekiti wa Klabu ya Biashara United amesema kuwa mchakato wa kumsaka mrithi wa mikoba ya Francis Baraza bado unaendelea.

Baraza alikuwa na Biashara United ambapo alikiongoza kikosi hicho kwenye mechi 23 na kipo nafasi ya nne baada ya kukusanya pointi 39 katika ligi.

Kwa sasa Baraza ni Kocha Mkuu wa Klabu ya Kagera Sugar iliyoachana na kocha wao Mecky Maxime kwa kile walichoeleza kuwa mwendo mbovu wa timu hiyo.

Maxime alikiongoza kikosi hicho kwenye mechi 24 na kipo nafasi ya 13 pointi zake ni 25.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mataso amesema kuwa bado kazi inaendelea ya kumsaka kocha mpya ikikamilika atatangazwa.

"Mchakato wa kumsaka kocha mpya unaendelea na unahitaji umakini kwa sababu kocha yeye anakuwa na jukumu la kuongoza kikosi kupata ushindi.

"Unaona kwamba tumekuwa kwenye mwendo mzuri kwa msimu huu hivyo tunahitaji kuendelea kubaki kwenye mfumo na mwalimu ambaye atakuja ni lazima aweze kwenda na kasi ambayo tupo nayo," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BIASHARA UNITED INAMSAKA MRITHI WA MIKOBA YA BARAZA
BIASHARA UNITED INAMSAKA MRITHI WA MIKOBA YA BARAZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTU_6KqS0NI6JI3EMRlz7ndCTxqcf-NBTUXnTElpsiYYYLTCRu_9Vg8GZOOCgHHM7fsM63ASlnCUEuQKcRAA1GUCWTXAc2gs-ojFI_lwHq_DxKXUfVP-EDiuhzurNeaMhnufzswg2OCm72/w636-h640/Baraza.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTU_6KqS0NI6JI3EMRlz7ndCTxqcf-NBTUXnTElpsiYYYLTCRu_9Vg8GZOOCgHHM7fsM63ASlnCUEuQKcRAA1GUCWTXAc2gs-ojFI_lwHq_DxKXUfVP-EDiuhzurNeaMhnufzswg2OCm72/s72-w636-c-h640/Baraza.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/biashara-united-inamsaka-mrithi-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/biashara-united-inamsaka-mrithi-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy