Rais Samia Awataka Viongozi Kuwa Waadilifu
HomeHabari

Rais Samia Awataka Viongozi Kuwa Waadilifu

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kufanya kazi kwa kuzingatia Mipango, Sheria, Miongoz...

Wanafunzi Waliokuwa Mamekwama Katika Mji Wa Sumy – Ukraine Kuanza Kuondolewa
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo March 5
Mpango Kazi Wa Kitaifa Wa Kuzuia Na Kupambana Na Usafirishaji Haramu Wa Binadamu Wazinduliwa Dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kufanya kazi kwa kuzingatia Mipango, Sheria, Miongozo, pamoja na Dira ya Maendeleo ya nchi ili kukuza ustawi wa taifa.

Mhe. Rais Samia amesema hayo jana mara baada ya kuwaapisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, Waziri wa Katiba na Sheria, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili pamoja na Wajumbe wake wawili na viongozi wengine pia katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma.


Aidha, Rais Samia amesema Serikali imedhamiria kukuza uchumi wa nchi baada ya kuathiriwa na UVIKO 19, hivyo ili kufikia azma hiyo ni wajibu kila Kiongozi kwenye kila sekta kutekeleza wajibu na majukumu yake ipasavyo.

Rais Samia amewataka Viongozi hao kusimamia na kutekeleza majukumu waliyopangiwa kikamilifu kwa kushirikiana, kuheshimiana na kuzingatia viapo vyao.

Kwa upande wa Baraza la Maadili, Rais Samia amewataka viongozi aliowaapisha kuanza kazi mara moja kwa kuzifanyia kazi kesi za maadili ndani ya Utumishi wa Umma zinazowasilishwa katika Baraza hilo.

Hafla hiyo ya Uapisho imehudhuriwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein Katanga pamoja na viongozi wengine wa Serikali.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia Awataka Viongozi Kuwa Waadilifu
Rais Samia Awataka Viongozi Kuwa Waadilifu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipFvHLzWeNIXc6GcXbj4QAVs5Yj1ZFHuiq0OD2CHX7Vr1YRhJedBLkUoOB1YrDRap1IH354RNcXOOi8zILVX5gw-s-K-OnIWRKd8xONZy9rxVG14OJeB7xl9Dg97QAVHb0dY824oP-zN_-1iuSt_uxxBfFOA_8ZpWpdqOg5ASeTmIVkR8LzGcrtq9yqQ/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipFvHLzWeNIXc6GcXbj4QAVs5Yj1ZFHuiq0OD2CHX7Vr1YRhJedBLkUoOB1YrDRap1IH354RNcXOOi8zILVX5gw-s-K-OnIWRKd8xONZy9rxVG14OJeB7xl9Dg97QAVHb0dY824oP-zN_-1iuSt_uxxBfFOA_8ZpWpdqOg5ASeTmIVkR8LzGcrtq9yqQ/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/rais-samia-awataka-viongozi-kuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/rais-samia-awataka-viongozi-kuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy