GREALISH TAMBO KIBAO KISA KUFUNGA
HomeMichezo

GREALISH TAMBO KIBAO KISA KUFUNGA

  JACK Grealish nyota mpya ndani ya kikosi cha Manchester City ambaye aliibuka huko akitokea Klabu ya Aston Villa ameweka wazi kuwa anauw...

KUMBE! MANARA ANATEMBEA NA MKATABA WA MILIONI, ISHU YAKE NA BARBRA BADO YAMOTO
MO AKUTANA NA MASTAA SIMBA, KISA YANGA
YANGA WANAPASWA WAMPONGEZE MWAMUZI ARAJIGA

 


JACK Grealish nyota mpya ndani ya kikosi cha Manchester City ambaye aliibuka huko akitokea Klabu ya Aston Villa ameweka wazi kuwa anauwezo wa kumpindua beki wa aina yoyote akiwa anakimbia ndani ya boksi.

Hii inatokana na bao lake alilofunga kwa kuwachambua mabeki kadhaa na kuiwezesha Manchester City kushinda mabao 6-3 dhidi ya RB Leipzig kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumatano.

Kiungo huyo mwenye miaka 26 alikuwa akicheza mchezo huo ndani ya Uwanja wa Etihad na kueleza kuwa ni furaha kwake kufunga.

"Mpira ulikuja kwangu na ninapokuwa katika nafasi hiyo nikikimbia ninaweza nikampita yeyote tukikabiliana mmoja mmoja, nina furaha kupata bao," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GREALISH TAMBO KIBAO KISA KUFUNGA
GREALISH TAMBO KIBAO KISA KUFUNGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEK-8ibhFO9_oTJZmEPD8NP5Z6Dkp1v4w9v-Nyhr7WtxoeBF4EeOzJeS7b8k5LEgpCJDPBVYwSIc3cAOti65LXFCv3Q1sb0U-oXrzJJSbU8fwSWQTun8bFTGeOWOYITUUHRMqk0DYepfNS/w640-h360/Grealish+tambo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEK-8ibhFO9_oTJZmEPD8NP5Z6Dkp1v4w9v-Nyhr7WtxoeBF4EeOzJeS7b8k5LEgpCJDPBVYwSIc3cAOti65LXFCv3Q1sb0U-oXrzJJSbU8fwSWQTun8bFTGeOWOYITUUHRMqk0DYepfNS/s72-w640-c-h360/Grealish+tambo.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/grealish-tambo-kibao-kisa-kufunga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/grealish-tambo-kibao-kisa-kufunga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy