MTUPIAJI wa bao pekee lililowapa maumivu Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya awali, Moses anayekipiga ndani ya Rivers United am...
MTUPIAJI wa bao pekee lililowapa maumivu Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya awali, Moses anayekipiga ndani ya Rivers United amesema kuwa alikuwa hajaifuatilia kwa muda mrefu Simba hivyo alipokuja Tanzania aliweza kufanya jambo hilo na kuweka wazi kuwa ikiwa timu hiyo inahitaji kupata saini yake ni suala la kufanya mawasiliano na uongozi wa Rivers United.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS