CR 7 ASEPA NA TUZO ITALIA, AFICHUA KINACHOMBEBA
HomeMichezo

CR 7 ASEPA NA TUZO ITALIA, AFICHUA KINACHOMBEBA

 NYOTA wa kikosi cha timu ya Juventus inayoshiriki Ligi Kuu ya Serie A, Cristiano Ronaldo amepewa tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2020 kwa...


 NYOTA wa kikosi cha timu ya Juventus inayoshiriki Ligi Kuu ya Serie A, Cristiano Ronaldo amepewa tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2020 kwa wachezaji wanaocheza Italia.

Ronaldo ametwaa tuzo hiyo hivi karibuni baada ya kufanya vizuri kwa mwaka 2020 ambapo alifunga mabao 31 kwenye mechi 33 za ligi.

Pia msimu uliopita timu yake ya Juventus ilitwaa taji la Serie A na aliibuka kuwa mchezaji bora.

Baada ya kutwaa tuzo hiyo Ronaldo amesema kuwa anapenda kuwashukuru wote ambao wamehusika katika mafanikio yake kwa kuweza kupata tuzo hiyo.

"Nataka kuwashukuru wachezaji wenzangu kwani wao wamefanikisha mimi kupata tuzo hii kwa kunipigia kura.

"Bidii nguvu na kujiamini ndiyo imekuwa siri kubwa ya mafanikio yangu pamoja na nidhamu ndiyo maana nimeweza kuwa hapa nikiwa na umri wa miaka 36 naweza kufika hata 40," . 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CR 7 ASEPA NA TUZO ITALIA, AFICHUA KINACHOMBEBA
CR 7 ASEPA NA TUZO ITALIA, AFICHUA KINACHOMBEBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDZtsTjCGF8AmJXWkaTVXJO4JMlnfF-HMpHg980ko2hZZecUXLQZdF-NfBONZ_MDViUGmo19VJJyOIJ-HQYdBjeQUKOzlqbHQ3s9B2IWaKGBPrKYJ7r5N-QrDJ1ogd2QzHloJF8SmHpvIE/w640-h506/Cr+7+Juventus.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDZtsTjCGF8AmJXWkaTVXJO4JMlnfF-HMpHg980ko2hZZecUXLQZdF-NfBONZ_MDViUGmo19VJJyOIJ-HQYdBjeQUKOzlqbHQ3s9B2IWaKGBPrKYJ7r5N-QrDJ1ogd2QzHloJF8SmHpvIE/s72-w640-c-h506/Cr+7+Juventus.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/cr-7-asepa-na-tuzo-italia-afichua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/cr-7-asepa-na-tuzo-italia-afichua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy