BAADA YA NGAO YA JAMII NGUVU YA YANGA IPO HUKU
HomeMichezo

BAADA YA NGAO YA JAMII NGUVU YA YANGA IPO HUKU

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa baada ya kumaliza kazi yao ya kusepa na taji la Ngao ya Jamii mbele ya Simba kwa ushindi wa bao 1-0 sa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
NAMUNGO FC YAREJEA BONGO, TAYARI KWA LIGI KUU BARA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa baada ya kumaliza kazi yao ya kusepa na taji la Ngao ya Jamii mbele ya Simba kwa ushindi wa bao 1-0 sasa nguvu zao ni kwenye Ligi Kuu Bara.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Makao Makuu ya Yanga, Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kila kitu kipo sawa na wanashukuru uwepo wa mashabiki pamoja na kazi kubwa iliyofanywa na benchi la ufundi linaloongozwa na Nasreddine Nabi.

"Tunashukuru kwa kuwa tumeweza kutwaa Ngao ya Jamii ni kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi na tumeanza awali kabisa kufanya hivyo maana yake ni kwamba kuna kazi kubwa ambayo tutaifanya.

"Shukrani kubwa kwa mashabiki, kwa namna ambavyo wamekuwa pamoja nasi na kutupa ushirikiano, kuna raha kubwa kwa kushinda taji tena kuwafunga watani wa jadi.

"Sherehe za ubingwa kwa sasa zimekwisha na nguvu inakwenda kwenye mechi za Ligi Kuu Bara, tunakwenda kuanza kazi mbele ya Kagera Sugar hakuna namna ni wapinzani wazuri tunawaheshimu na wana kocha mwenye mbinu ambaye ni Francis Baraza.

"Kikosi kimeondoka leo na wachezaji 25 pamoja na benchi la ufundi, sisi tutakwenda kesho kuungana na timu, kikubwa ni kuendelea kuonyesha ushirikiano kwani kazi ni ngumu na ushindani utakuwa mgumu," amesema.

Tayari kikosi cha Yanga kimefika salama Kagera tayari kwa maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Septemba 29, Uwanja wa Kaitaba.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BAADA YA NGAO YA JAMII NGUVU YA YANGA IPO HUKU
BAADA YA NGAO YA JAMII NGUVU YA YANGA IPO HUKU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5ppUJ4zobTZb8Pvc3Tr-jR4C9zjYatlhKlRdmwyxZdxr5vgympu0Jsf6msuLzVskLKxiH-2ZP4Gb5v7R1ilsrfUdRDOQm4iyU1-OAn1NgnN0AkdMcqGnmMPviOIJ9cz5s_BAH3da5-swH/w640-h640/242931810_231069689048747_6690359511496325919_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5ppUJ4zobTZb8Pvc3Tr-jR4C9zjYatlhKlRdmwyxZdxr5vgympu0Jsf6msuLzVskLKxiH-2ZP4Gb5v7R1ilsrfUdRDOQm4iyU1-OAn1NgnN0AkdMcqGnmMPviOIJ9cz5s_BAH3da5-swH/s72-w640-c-h640/242931810_231069689048747_6690359511496325919_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/baada-ya-ngao-ya-jamii-nguvu-ya-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/baada-ya-ngao-ya-jamii-nguvu-ya-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy