SIMBA YATAMBA KUANZA KUIMALIZA AL AHLY BONGO
HomeMichezo

SIMBA YATAMBA KUANZA KUIMALIZA AL AHLY BONGO

  MFUNGAJI wa bao pekee la mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya   Ligi Mabingwa Afrika   dhidi ya   AS Vita ,   Mkongomani Chris Mugalu...


 MFUNGAJI wa bao pekee la mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita, Mkongomani Chris Mugalu, amewaondoa hofu mashabiki wa Simba kwa kutamka kuwa wanawafahamu vizuri wapinzani wao Al Ahly ya Misri.


Leo Februari 23 Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ukiwa ni wa hatua ya makundi.

  Mugalu amesema kuwa wanafahamu Al Ahly ni klabu kubwa yenye uzoefu mkubwa katika michuano hiyo lakini hiyo haiwafanyi wao wawaogope na badala yake wataingia uwanjani kupambana kuhakikisha wanaibuka na ushindi.

 

 Mugalu amesema kuwa hakuna kitakachowazuia wao kupata ushindi katika mchezo huo kutokana na uenyeji walionao, hivyo watapambana kuhakikisha wanapata ushindi wa nyumbani kabla ya kwenda kurudiana ugenini Misri.

 

Aliongeza kuwa kama walifanikiwa kupata ushindi wa ugenini dhidi ya AS Vita ya Kinshasa, Congo hawatashindwa kupata matokeo ya nyumbani watakapocheza dhidi ya Ahly.

 

“Tunafahamu Al Ahly ni klabu kubwa na imekuwa na uzoefu wa kutosha katika michuano hii, jambo bora ni kwamba tumeweza kupata matokeo mazuri katika mchezo wa kwanza na sasa malengo yetu tumeyaelekeza katika mchezo wetu ujao ambao tunacheza nyumbani.

 

“Kitu kikubwa tunachokiangalia ni kushinda kwa sababu tutakuwa nyumbani na tunaelewa wapinzani wetu ni timu ya aina gani kutokana na ukubwa wake wa uzoefu na rekodi katika michuano hii.

 

 “Tunaheshimu uwezo wao na ubora wao lakini kwetu tunaangalia jinsi ya kupata matokeo mazuri na kikubwa tunataka ushindi wa nyumbani kabla ya kwenda kurudiana kwao, kwani tukipata ushindi wa hapa, ugenini wapinzani watacheza kwa presha kubwa,” amesema Mugalu aliyefunga bao la ugenini dhidi ya AS Vita na kuipa pointi tatu.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YATAMBA KUANZA KUIMALIZA AL AHLY BONGO
SIMBA YATAMBA KUANZA KUIMALIZA AL AHLY BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAOOnMoQw6IApq1Ug9CyrJfO31rD-QXv569ZFAtV56Awl3kB43ZV2ldH6CdhL9hSuJ1aBJm9Pe6VWJFq2JXBIAgDKALv-mqvfBBLfjwezEMD2PDwU1Mj_j4V7BdWhogbhm7o99euu5Cjfv/w640-h426/Mugalu+na+BM.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAOOnMoQw6IApq1Ug9CyrJfO31rD-QXv569ZFAtV56Awl3kB43ZV2ldH6CdhL9hSuJ1aBJm9Pe6VWJFq2JXBIAgDKALv-mqvfBBLfjwezEMD2PDwU1Mj_j4V7BdWhogbhm7o99euu5Cjfv/s72-w640-c-h426/Mugalu+na+BM.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yatamba-kuanza-kuimaliza-al-ahly.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yatamba-kuanza-kuimaliza-al-ahly.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy