NAMUNGO FC YAREJEA BONGO, TAYARI KWA LIGI KUU BARA
HomeMichezo

NAMUNGO FC YAREJEA BONGO, TAYARI KWA LIGI KUU BARA

 KIKOSI cha Namungo FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Moroco leo Aprili 12 kimerejea Tanzania kikitokea nchini Zambia ili kuendelea na...

KIGOGO WA SUPER LEAGUE AKOMAA
AUBA NA LACAZETTE WA ARSENAL HATIHATI KUIKOSA EVERTON LEO
AZAM FC BADO WAKOMALIA JAMBO LAO

 KIKOSI cha Namungo FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Moroco leo Aprili 12 kimerejea Tanzania kikitokea nchini Zambia ili kuendelea na mechi zake za Ligi Kuu Bara.

Namungo jana Aprili ilikuwa na kibarua cha kuipeperusha Tanzania kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Nkana FC.

Mchezo huo dakika 90 zilikamilika kwa Nkana FC kushinda bao 1-0 dhidi ya Namungo na kufanya kikosi hicho kilicho kwenye kundi D  kupoteza mechi zake mbili mbele ya Nkana FC.

Ule wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Namungo 0-2 Nkana FC. Kwenye kundi D Namungo FC ipo nafasi ya nne bado haijakusanya pointi.

Morocco amesema:"Tumeshawasili tayari Tanzania muda huu, tunamshukuru Mungu kwa kuwa tumerejea salama," . 




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NAMUNGO FC YAREJEA BONGO, TAYARI KWA LIGI KUU BARA
NAMUNGO FC YAREJEA BONGO, TAYARI KWA LIGI KUU BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinEg2pXt-hevJpaj9IlOBWtDaweWHkgxFY6y1nybp8ekLORGz6HVlCCpPRS7dCU9753o0HRyNqTTRAw8Tdf28nGQ8u4SVUEGIOrUrmcF2Ib4mrGJD9BwTavlRhUElU3kiIlNkYhNLTt_kM/w512-h640/Namungo+v+Ihefu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinEg2pXt-hevJpaj9IlOBWtDaweWHkgxFY6y1nybp8ekLORGz6HVlCCpPRS7dCU9753o0HRyNqTTRAw8Tdf28nGQ8u4SVUEGIOrUrmcF2Ib4mrGJD9BwTavlRhUElU3kiIlNkYhNLTt_kM/s72-w512-c-h640/Namungo+v+Ihefu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/namungo-fc-yarejea-bongo-tayari-kwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/namungo-fc-yarejea-bongo-tayari-kwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy