KOCHA YANGA AJA NA MBINU MPYA ZA USHINDI
HomeMichezo

KOCHA YANGA AJA NA MBINU MPYA ZA USHINDI

 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa mechi zilizobaki utatumia mbinu mpya zitakazowafanya waweze kushinda ndani ya uwanja na kupata pointi t...


 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa mechi zilizobaki utatumia mbinu mpya zitakazowafanya waweze kushinda ndani ya uwanja na kupata pointi tatu katika mechi zao za mzunguko wa pili.

Ikiwa inaongoza Ligi Kuu Bara baada ya kucheza jumla ya mechi 21 na kujikusanyia pointi 49 ilianza kwa kusuasua mzunguko wa pili kwa kupata sare mbili mfululizo.

Ilianza mbele ya Mbeya City 1-1 Yanga, ngoma ilichezwa Uwanja wa Sokoine kisha mbele ya Kagera Sugar ubao ulisoma 3-3 ilikuwa Uwanja wa Mkapa na iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa.

Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa mbinu anayokuja nayo kwa sasa ni kuwataka wachezaji wake wacheze kwa kujiamini na kutumia nafasi ambazo wanazipata.

"Wachezaji wamekuwa wakifanya kazi kubwa ndani ya uwanja ila walikuwa wakikosa kujiamini pale wanapoanza jambo ambalo linafanya matokeo kuwa magumu kupatikana.

"Kwa sasa nimewaambia kwamba wana kazi ya kufanya kwenye mechi zetu zote ambapo wanapaswa kujiamini na kutumia nafasi ambazo wanazipata.

"Naona kama wanakuwa wanashindwa kuzitumia nafasi kwa kuwa kwenye mechi zetu imekuwa hivyo hasa kipindi cha kwanza lakini haina maana kwamba hatuchezi,".




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA YANGA AJA NA MBINU MPYA ZA USHINDI
KOCHA YANGA AJA NA MBINU MPYA ZA USHINDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZmDxIuYYY3PyA81q1v7KTBE10RUw4WhndZA9MoZoVS-LAlvUVDZi-Xdg6pthN436dkm-508kB2FSlUp1c7xPmmFID5Q52iBMBQjbn7u8rClsPtjsgOi71uM02CE6m2QDSPVxUdYIDRQG0/w640-h518/Kaze+na+wana.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZmDxIuYYY3PyA81q1v7KTBE10RUw4WhndZA9MoZoVS-LAlvUVDZi-Xdg6pthN436dkm-508kB2FSlUp1c7xPmmFID5Q52iBMBQjbn7u8rClsPtjsgOi71uM02CE6m2QDSPVxUdYIDRQG0/s72-w640-c-h518/Kaze+na+wana.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kocha-yanga-aja-na-mbinu-mpya-za-ushindi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kocha-yanga-aja-na-mbinu-mpya-za-ushindi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy