AZAM FC:MSIMU HUU USHINDANI NI MKUBWA
HomeMichezo

AZAM FC:MSIMU HUU USHINDANI NI MKUBWA

 KOCHA msaidizi wa Azam FC amesema kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ni mkubwa kwa kuwa kila timu inapambana kufikia malengo iliyojiwe...


 KOCHA msaidizi wa Azam FC amesema kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ni mkubwa kwa kuwa kila timu inapambana kufikia malengo iliyojiwekea.

Msimu wa 2020/21 Azam FC ilianza kwa kasi na ilicheza mechi 7 mfululizo bila kuonja ladha ya kichapo huku ikiwa inaongoza ligi kabla ya kutunguliwa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Jamhuri.

Kwa sasa kinara ni Yanga ambaye amecheza mechi 21 na amekusanya pointi 49 kibindoni anafuatiwa na Simba nafasi ya pili na pointi zake ni 42 na imecheza mechi 18.

Vivier Bahati ambaye anafanya kazi kwenye viunga vya Azam Complex akiwa msaidizi wa George Lwandamina ambaye ni Kocha Mkuu wa timu hiyo amesema kuwa bado wanaendelea kupambana.

Timu hiyo kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya tatu ikiwa imecheza jumla ya mechi 21 na imekusanya pointi 37.


Imetupia jumla ya mabao 29 na kinara wa utupiaji ni Prince Dube mwenye mabao 7 na pasi tano za mabao kwenye akaunti yake.

Mchezo wake uliopita ililazimisha sare ya bila kufungana na timu ya Tanzania Prisons iliyo nafasi ya 8 na pointi 26 baada ya kucheza jumla ya mechi 20. Ulichezwa Uwanja wa Azam Complex.

Bahati amesema:"Ushindani ni mkubwa na kila timu inapambana kufikia malengo yake hicho ndicho ambacho nasi pia tunakifanya ndani ya uwanja.

"Wengi wanapenda kuona matokeo mazuri kutoka kwetu hilo lipo na linawezekana hivyo mashabiki waendelee kutupa sapoti kwani kila kitu kinawezekana,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC:MSIMU HUU USHINDANI NI MKUBWA
AZAM FC:MSIMU HUU USHINDANI NI MKUBWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKojc9tdc_rCcxQyWFvm9elyAMXRsgoxuhpz4rZuF8pk1IJSoQHGVQu_hhsMNrlanw24txDpSuEeCRwGG_hWVbMjx3jPJYtAeeSb7cR1i1-CAVh7hlzjC69oGYoEXE2GQlY82_6j7h52HW/w640-h618/Dube+na+Lyanga.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKojc9tdc_rCcxQyWFvm9elyAMXRsgoxuhpz4rZuF8pk1IJSoQHGVQu_hhsMNrlanw24txDpSuEeCRwGG_hWVbMjx3jPJYtAeeSb7cR1i1-CAVh7hlzjC69oGYoEXE2GQlY82_6j7h52HW/s72-w640-c-h618/Dube+na+Lyanga.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-fcmsimu-huu-ushindani-ni-mkubwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-fcmsimu-huu-ushindani-ni-mkubwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy