INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wameifanyia umafia Simba katika ishu ya usajili wa mchezaji Peter Banda raia wa Malawi ambaye ni mshambuliaji...
INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wameifanyia umafia Simba katika ishu ya usajili wa mchezaji Peter Banda raia wa Malawi ambaye ni mshambuliaji mwenye miaka 20.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Habari zinaeleza kuwa Yanga walisepa na mshambuliaji huyo ambaye alikuwa kwenye hesabu za kumalizana na Simba.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS