Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametia sahihi sheria mpya ya kukabiliana na maswala ya usalama nchini, ambapo maafisa wa...
Rais
wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametia sahihi sheria mpya ya kukabiliana na
maswala ya usalama nchini, ambapo maafisa wa usalama watasikiliza
mawasiliano ya simu ya watu hata bila kuwaarifu.
Washukiwa wa uhalifu pia wataweza kuzuiliwa hadi mwaka mmoja bila kufanyiwa mashtaka yo yote.
Rais
Kenyatta, ambaye anasema sheria hiyo inahitajika kukabiliana na kundi
la kigaidi la Al Shabaab, alisisitiza kuwa haikiuki haki za kibinadamu
za mtu ye yote.
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS