Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa wa JWTZ
HomeHabariTop Stories

Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa wa JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF), Jenerali Jacob Mkunda amewavisha nishani za hadhi mbalimbali baadhi ya watumishi wa Jeshi la Wan...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo August 27, 2024
Winga huyu wa klabu ya Al-Ahly kuhamia Ligi ya Saudi msimu huu wa joto

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF), Jenerali Jacob Mkunda amewavisha nishani za hadhi mbalimbali baadhi ya watumishi wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu.

Hafla ya uvalishaji wa nishani hizo imefanyika mkoani Morogoro ambapo miongoni mwa nishani zilizovishwa ni pamoja na Nishani ya Utumishi Mrefu Jeshini, Nishani ya Utumishi Mrefu na Tabia Njema, Nishani ya Miaka 60 ya Muungano na Nishani ya Miaka 60 ya JWTZ.

Nishani hizo zimevalishwa kwa baadhi ya majenerali wenye vyeo vya ngazi mbalimbali, maafisa na askari wa JWTZ.

The post Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa wa JWTZ first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/BVSkHbs
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa wa JWTZ
Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa wa JWTZ
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/dfbee098-8814-4c0e-84af-54a94db65a17-950x633.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/jenerali-mkunda-awavisha-nishani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/jenerali-mkunda-awavisha-nishani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy