Mkilipa $44 mtatibiwa hapa Lumumba Zanzibar
HomeHabariTop Stories

Mkilipa $44 mtatibiwa hapa Lumumba Zanzibar

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Saada Mkuya amekagua uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume (AAKIA) Visiwani Zanzibar ik...

Mahakama ya Korea Kusini yakataa ombi linalopinga kuwekwa kizuizini kwa Yoon
Mahakama ya Pakistan yamhukumu Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan na mkewe jela kesi ya ufisadi
TANROADS isimamie miradi ya CSR ijengwe kwa viwango

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Saada Mkuya amekagua uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume (AAKIA) Visiwani Zanzibar ikiwa ni hatua ya kutekeleza Utaratibu wa Ulipaji wa Bima ya Lazima kwa mtalii ambapo Gharama yake ni $44

Mkuya amefikia hatua hiyo ya kwenda kujionea namna watalii wakiingia Zanzibar na kuhakikisha mtalii yeyote anaingia Zanzibar awe na bima sambamba na kujionea miundombinu ya kutekeleza zoezi hilo la bima visiwani humo.

katika hatua nyingine waziri wa fedha ametembelea Hospitali ya serikali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini ya Lumumba ambayo ni mpya na yenye vifaa vyote vya kisasa inayosimamiwa na madaktari wa kigeni Hopsitali hiyo imepangwa kutumika kwa watalii ikitokea wamekutwa na majanga.

The post Mkilipa $44 mtatibiwa hapa Lumumba Zanzibar first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/eZuMB1b
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mkilipa $44 mtatibiwa hapa Lumumba Zanzibar
Mkilipa $44 mtatibiwa hapa Lumumba Zanzibar
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/IMG-20240912-WA0213-950x534.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/mkilipa-44-mtatibiwa-hapa-lumumba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/mkilipa-44-mtatibiwa-hapa-lumumba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy