GOMES ANAAMINI KWAMBA WATASHINDA MBELE YA YANGA
HomeMichezo

GOMES ANAAMINI KWAMBA WATASHINDA MBELE YA YANGA

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa wachezaji wake wanajiamini na anaamini kwamba watafanya vizuri kwenye fainali dhidi ya Yang...

CHELSEA YAANZA KWA USHINDI ENGLAND
GOMES AKOMALIA WACHEZAJI WAKE KUTUPIA, KAMBI MOROCCO IMEPAMBA MOTO
MUZIKI WA SIMBA, KIKOSI CHAKE KIPO HIVI, YANGA YAMALIZANA NA LITOMBO, NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa wachezaji wake wanajiamini na anaamini kwamba watafanya vizuri kwenye fainali dhidi ya Yanga pamoja na mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Julai 3, Simba itakuwa na kibarua cha kumenyana na Yanga, Uwanja wa Mkapa pia itakuwa na kazi ya kumenyana na Yanga kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Julai 25.

Jana, Julai 26, Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji, Songea. Itakutana na Yanga katika fainali ya Kombe la Shirikisho.

Yanga wao walishinda bao 1-0 dhidi ya Biashara kwenye nusu fainali ya kwanza iliyochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Julai 25.

Gomes amesema:"Tuna wachezaji wazuri nina amini kwamba kuelekea kwenye fainali utakuwa mchezo mzuri na mgumu lakini tupo tayari kwa ajili ya ushindani.

"Nina amini kwamba Yanga ni timu nzuri lakini hakuna namna wachezaji wangu wanajiamini na wapo vizuri hatuna mashaka tutafanya kazi kubwa ili kufikia malengo yetu ya kutwaa ubingwa," .

Simba ni mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho ambapo walitwaa taji hilo kwenye mchezo wao wa fainali walipokutana na Namungo FC.

Ni bao la Luis Miquissone liliwanyanyua kwenye benchi la ufundi na kuwafanya washangilie kwa nguvu kwa kuwa mchezo ulikuwa na ushindani mwanzo mwisho na bao lao walipachika dk 89.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES ANAAMINI KWAMBA WATASHINDA MBELE YA YANGA
GOMES ANAAMINI KWAMBA WATASHINDA MBELE YA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiycHaWIqHJROeb1xPdumGYJHJbvPLYM4CnZoShQ_66A-drpWuCHVc3E50aMnIkEUeipLn15HxlyL0yJLWLzRiSPYWIbJwtfERSMucl13Lj_mVMYgjXt9rtxlmI1eWT8SkuTmTrTfM2sPO3/w640-h426/simbasctanzania-208927201_961492617975265_4873359877997967396_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiycHaWIqHJROeb1xPdumGYJHJbvPLYM4CnZoShQ_66A-drpWuCHVc3E50aMnIkEUeipLn15HxlyL0yJLWLzRiSPYWIbJwtfERSMucl13Lj_mVMYgjXt9rtxlmI1eWT8SkuTmTrTfM2sPO3/s72-w640-c-h426/simbasctanzania-208927201_961492617975265_4873359877997967396_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/gomes-anaamini-kwamba-watashinda-mbele.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/gomes-anaamini-kwamba-watashinda-mbele.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy