Dkt Tulia ahitimisha mkutano wa 10 wa wabunge vijana wanachama wa umoja wa mabunge duniani
HomeHabariTop Stories

Dkt Tulia ahitimisha mkutano wa 10 wa wabunge vijana wanachama wa umoja wa mabunge duniani

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson amehitisha rasmi Mkutano...

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson amehitisha rasmi Mkutano wa 10 wa Wabunge Vijana wa IPU uliofanyika Jijini Yerevan nchini Armenia leo tarehe 13 Septemba, 2024.

Dkt Tulia ameeleza umuhimu wa ushirikishwaji wa Vijana katika nyanja zote za maamuzi hususani katika changamoto zinazoikumba Dunia hivi sasa zikiwemo Sera za Elimu na ajira zenye kutoa kipaumbele kwa Vijana.

Aidha, kushirikisha vijana kwenye mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi pamoja na ulinzi na usalama wa Dunia.

Vilevile ameyaasa mabunge kutunga sheria zinazotoa vipaumbele kwa vijana.

The post Dkt Tulia ahitimisha mkutano wa 10 wa wabunge vijana wanachama wa umoja wa mabunge duniani first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Nc3M6Pj
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Dkt Tulia ahitimisha mkutano wa 10 wa wabunge vijana wanachama wa umoja wa mabunge duniani
Dkt Tulia ahitimisha mkutano wa 10 wa wabunge vijana wanachama wa umoja wa mabunge duniani
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/IMG-20240913-WA0141-950x587.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/dkt-tulia-ahitimisha-mkutano-wa-10-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/dkt-tulia-ahitimisha-mkutano-wa-10-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy