SIMULIZI YA ALIYEIBIWA GARI NA MARAFIKI ZAKE NA NAMNA AMBAVYO ALIWEZA KULIPATA
HomeMichezo

SIMULIZI YA ALIYEIBIWA GARI NA MARAFIKI ZAKE NA NAMNA AMBAVYO ALIWEZA KULIPATA

  HII ni simulizi ya menena ambaye aliwahi kuibwa gari yake na marafiki zake hivi karibuni na namna alivyoweza kulipata ipo hivi:- Imepi...

 


HII ni simulizi ya menena ambaye aliwahi kuibwa gari yake na marafiki zake hivi karibuni na namna alivyoweza kulipata ipo hivi:-

Imepita miaka sita tangu gari langu aina ya Toyota Hilux lilipopotea nilijaribu juu chini kulitafuta lakini wapi halikupatikana, nakumbuka vizuri jinsi kisa hicho kilipotokea.

Nlikuwa nafanya kazi na kampuni moja maarufu sana nchini nikiwa kama mfanyakazi wa kawaida hadi nilipopandishwa madaraka hadi nikawa meneja.

 Maisha yangu yakachukuwa mkondo mwingine nikaanza maisha mapya, awali nilipitia changamoto si haba kwanza kutembea kwa masaa mengi na kusubiri masaa matatu kila siku ilikuwa inanigharimu fedha nyingi zaidi, nilifurahia sana nlipopandishwa madaraka katika kampuni ile.

Kwa kweli rafiki zangu wengine hawakuhisi vizuri na mara nyingi walinionea kijicho lakini sikutia shaka nlifanya kazi kwa bidii zaidi. Nilipofanya kazi kwa muda mrefu kutokana na marupurupu ya kila mwezi niliziweka kama pesa ya akiba ndipo niliamua kununua gari ambalo nililitumia kwa minajili ya usafiri na kupunguza gharama ya usafiri.

Baada ya miezi kadhaa rafiki zangu wengine wakawa wananikodi gari wanaenda nayo mahali kisha wanarejesha huo ukawa ndio mtindo wa kila siku.

Siku moja nilichelewa kutoka kazini kwa vile kwangu nyumbani huwa mbali niliamua kupitia njia ya mkato ili nifike haraka sikujua ilikuwa siku ambayo gari langu lingeibiwa.Nilipokuwa napita njia ile niliona gari ambalo lilikuwa linanifuata kwa kasi sana, nilipokuwa najaribu kuongeza mwendo wa gari, gari langu liligongwa kutoka upande wa nyuma basi niliposimama wanaume wenye miraba minne walikuja nilipokuwa nakuniagiza nishuke na niwape ufunguo wa gari, niliposita kuwapa nilizabwa makofi na kichapo kikali kikafuatia hapo ndipo nilipopoteza fahamu, hapo ndipo gari langu lilipotea.

Nilipopata fahamu nilijikokota hadi nyumbani nisijue nianzie wapi nimalizie wapi, siku iliyofuatia nikapiga ripoti kwa polisi ili wanisaidie kutafuta gari langu lililopotea. Kila siku nilitumai kwamba walioiba gari langu wangepatikana, Polisi walijaribu kila wawezalo lakini walishindwa nikabaki hivo nisijue cha kufanya.

Wakati mmoja nilikuwa napitia maswala kadha wa kadha kwenye mtandao wa kijamii nilipopata nambari ya kiwanga doctors, nilikuwa na hofu lakini nilijikaza kuwapigia na nilipoongea na wao nakuwaeleza yaliyonipata wakanishauri nisitie hofu gari langu lingepatikana.

Nilikuwa nyumbani kwangu nilipoelezwa na mfanyakazi wangu kwamba kuna watu wanataka kuniona, nilienda kukutana nao kumbe rafiki zangu niliowadhamini ndio wezi, rafiki zangu wakipiga magoti huku wakiniomba msamaha kwamba ni wao ndio waliochukuwa gari langu na wamelirejesha, walisema waliyaona mambo yasiyo ya kawaida na yaliyowatatiza maishani mwao na wangeyaomba niyasimamishe. 

Mara tu gari la Polisi lilifika kuwachukuwa. Nashukuru kiwanga doctors sana gari langu lilirudi . Nashauri yeyote anayekumbana na matatizo ya wizi kutembelea madaktari wa kiwanga kuweza kupata suluhu.

Madaktari hao wa kiasili pia hutibu magonjwa kama kifua kikuu, Saratani ya mapafu, Kisonono na mengine mengi, Pia wanasuluhisha matatizo kama ya kimapenzi, Uchawi na kulinda boma lako kutokana na wezi na mengine mengi. Watembelee leo upate suluhu. 

Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com ama pia waweza kupiga simu kwa Nambari +254 769404965/barua pepe kiwangadoctors@mail.com.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMULIZI YA ALIYEIBIWA GARI NA MARAFIKI ZAKE NA NAMNA AMBAVYO ALIWEZA KULIPATA
SIMULIZI YA ALIYEIBIWA GARI NA MARAFIKI ZAKE NA NAMNA AMBAVYO ALIWEZA KULIPATA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2nrnsWycwUl5mKN2-ANHfPrZK1O1I-sAXrwf0QwvnSN7v97wpHkuLxoTG1nxzMTutWZEGuLC968ie1MggfKZGt7dSCUfM4cYtKpHJOv00cvnGc8A9DyX5jtsaRdJZwiOC8yPYUVuPkmr8/w640-h426/Hilux.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2nrnsWycwUl5mKN2-ANHfPrZK1O1I-sAXrwf0QwvnSN7v97wpHkuLxoTG1nxzMTutWZEGuLC968ie1MggfKZGt7dSCUfM4cYtKpHJOv00cvnGc8A9DyX5jtsaRdJZwiOC8yPYUVuPkmr8/s72-w640-c-h426/Hilux.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/simulizi-ya-aliyeibiwa-gari-na-marafiki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/simulizi-ya-aliyeibiwa-gari-na-marafiki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy