KOCHA ARSENAL APATA MAKASIRIKO KWA KUPOTEZA POINTI TATU
HomeMichezo

KOCHA ARSENAL APATA MAKASIRIKO KWA KUPOTEZA POINTI TATU

  MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa amekasirishwa  na matokeo aliyoyapata katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu England. ...

SERGIO KUIBUKIA NDANI YA PSG
ISHU YA MANJI KUIBUKIA KWENYE MKUTANO WA YANGA IPO HIVI
UEFA YAFUTA SHERIA YA BAO LA UGENINI

MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa amekasirishwa  na matokeo aliyoyapata katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu England.

Ubao wa Uwanja wa Brentford Community baada ya dakika 90 ulisoma Brentford 2-0 Arsenal na kuwafanya wayeyushe mazima pointi tatu.

Ni mabao ya Sergi Canos dk 22 na Christian Norgaard dk 73 yalitosha kuwatuliza Arsenal ambao walikuwa imara katika umiliki wa mpira kwa kuwa walikuwa na asilimia 66 huku wapinzani wao wakiwa na asilimia 34.

Pia baada ya mchezo huo wachezaji wa Arsenal hawakuwa na furaha ikiwa ni pamoja na Kieran Tierney ambaye hakuamini alichokiona kwenye mchezo huo.

Arteta amesema kuwa hakuna jambo la kujitetea katika hilo kwa kuwa nafasi walizitengeneza ila walishindwa kuzitumia jambo ambalo limempa makasiriko.

Ni mashuti 22 ambayo Arsenal walipiga na manne pekee yalilenga lango huku wapinzani wao Brentford wakipiga mashuti 8 na matatu yalilenga lango.

 Kwa upande wa pasi ni 562 walipiga Arsenal na Brentford walipiga pasi 301.MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa amekasirishwa  na matokeo aliyoyapata katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu England.

Ubao wa Uwanja wa Brentford Community baada ya dakika 90 ulisoma Brentford 2-0 Arsenal na kuwafanya wayeyushe mazima pointi tatu.

Ni mabao ya Sergi Canos dk 22 na Christian Norgaard dk 73 yalitosha kuwatuliza Arsenal ambao walikuwa imara katika umiliki wa mpira kwa kuwa walikuwa na asilimia 66 huku wapinzani wao wakiwa na asilimia 34.

Arteta amesema kuwa hakuna jambo la kujitetea katika hilo kwa kuwa nafasi walizitengeneza ila walishindwa kuzitumia jambo ambalo limempa makasiriko.

Ni mashuti 22 ambayo Arsenal walipiga na manne pekee yalilenga lango huku wapinzani wao Brentford wakipiga mashuti 8 na matatu yalilenga lango. Kwa upande wa pasi ni 562 walipiga Arsenal na Brentford walipiga pasi 301.

Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA ARSENAL APATA MAKASIRIKO KWA KUPOTEZA POINTI TATU
KOCHA ARSENAL APATA MAKASIRIKO KWA KUPOTEZA POINTI TATU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0DRvkAMddT9SJ76P9qnS586nJ1p4hU3ePNS8m2Ng2pGlNdddkjdYei71Aux-BGqBnD7Edjak-ZdjQNFZ4FC86qU6i0qsaGeLCasYbucmHpbg_RP8hakeGwNKTYqhJZ_hFCqsgy9oS55L4/w640-h360/Nyota+wa+Arsenal.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0DRvkAMddT9SJ76P9qnS586nJ1p4hU3ePNS8m2Ng2pGlNdddkjdYei71Aux-BGqBnD7Edjak-ZdjQNFZ4FC86qU6i0qsaGeLCasYbucmHpbg_RP8hakeGwNKTYqhJZ_hFCqsgy9oS55L4/s72-w640-c-h360/Nyota+wa+Arsenal.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kocha-arsenal-apata-makasiriko-kwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kocha-arsenal-apata-makasiriko-kwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy