SAFARI YA KUSAKA MAKOMBE IMEANZA KUNAKO MSIMU WA 2021/22
HomeMichezo

SAFARI YA KUSAKA MAKOMBE IMEANZA KUNAKO MSIMU WA 2021/22

Wakati Ligi Kuu soka barani Ulaya zikiendelea, baadhi ya mashindano kuanza kushika kasi huku timu zingine zikiisaka tiketi ya kucheza mas...


Wakati Ligi Kuu soka barani Ulaya zikiendelea, baadhi ya mashindano kuanza kushika kasi huku timu zingine zikiisaka tiketi ya kucheza mashindano ya Ulaya. EFL, UEFA, Europa na Uefa Europa League kuendelea wiki hii. Meridianbet mambo yapo hivi;

 

Jumanne hii, Watford atachuana na Crystal Palacekwenye mashindano ya EFL Cup. Hapa zinakutana timu mbili zinazocheza EPL, vita ya huku ni tofauti kidogo – kila timu kuisaka nafasi ya kusonga mbele kwenye mashindano haya. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.45 kwa Watford.

 

Kwenye kuiwania tiketi ya Uefa, PSV kurudiana na Benfica jumanne usiku. Mchezo wa kwanza Benficaalishinda akiwa nyumbani, atafanikiwa kumuondoa PSV na yeye kutinga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa? Mchongo mzima upo kwenye Odds ya 2.05 kwa PSV.

 


Jumatano utachezwa mchezo kati ya Shakhtar Donetsk vs Monaco, huu ni mchezo ambao AS Monaco wanaingia uwanjani wakiwa na deni ya goli 1 walilofungwa kwenye mchezo wa kwanza. Wataweza kulipa deni na hata kuwaondoa Shakhtar? Idhamini timu yako kupitia Meridianbet kwa kuifuata Odds ya 2.50 kwa Monaco.

 

Arsenal ataianza safari ya kuwania kombe la EFL dhidi ya West Bromwich Albion. Maisha ndani ya EPL yamewaendea kombo The Gunners kwenye michezo yao miwili ya mwanzo kwa kupokea vipigo mfululizo. Wataweza kuwapa matumaini mashabiki wao kwenye mashindano haya? Hapa kuna Odds ya 1.86 kwa Arsenal ndani ya Meridianbet.

 

Alhamisi hii kutakua na mchezo wa kuiwania nafasi ya kucheza mashindano yaEuropa msimu huu. Hapa kuna mtanange kati ya CFR Cluj na Crvena Zvezda. Mchongo mzima upo ndani ya Nyumba ya Mabingwa- Meridianbet. Ifuate Odds ya 2.40 kwa Crvena Zvezda.


Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SAFARI YA KUSAKA MAKOMBE IMEANZA KUNAKO MSIMU WA 2021/22
SAFARI YA KUSAKA MAKOMBE IMEANZA KUNAKO MSIMU WA 2021/22
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjldDdSop3pZpsoJsjVGCK_HGA4-M4xqb4JO1Fg7A2nIbRf_S2uQjsipGEUYv2WiE7rBSuZqqRO9PEWQP42ptI8KjDx58zXFcv1F2BgVGodItB1HVGlKXBL88opcgtJ5wvpXndE4Jm92GvH/w640-h430/7ecf0-16296561421442-800.webp
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjldDdSop3pZpsoJsjVGCK_HGA4-M4xqb4JO1Fg7A2nIbRf_S2uQjsipGEUYv2WiE7rBSuZqqRO9PEWQP42ptI8KjDx58zXFcv1F2BgVGodItB1HVGlKXBL88opcgtJ5wvpXndE4Jm92GvH/s72-w640-c-h430/7ecf0-16296561421442-800.webp
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/safari-ya-kusaka-makombe-imeanza-kunako.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/safari-ya-kusaka-makombe-imeanza-kunako.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy