Yanga Yaitungua Simba Bao 1-0
HomeHabari

Yanga Yaitungua Simba Bao 1-0

  Klabu ya Yanga imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Watani wao wa Jadi, Simba SC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa ...

Mvutano wa China-Taiwan: Xi Jinping asema 'muungano' lazima utimie; Taiwan yapuuza matamshi yake
Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Ahitimisha Maadhimisho Ya Siku Ya Posta Duniani
ACT Wazalendo Yaibwaga CCM Jimbo la Konde

 


Klabu ya Yanga imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Watani wao wa Jadi, Simba SC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa ukishududiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan .

Bao pekee la Yanga SC lilifungwa na Kiungo wa Klabu hiyo, Zawadi Mauya dakika ya 11 ya mchezo baada ya kupiga shuti kali lililomgonga Beki wa Simba SC, Shomari Kapombe na kutinga wavuni likiwaacha Simba wakishangaa dakika za mwazo za mchezo huo.

Yanga SC walionekana kuzuia kwa kuwa wengi golini kwao dakika zote huku wakitumia mchezo wa kushambulia kwa kushtukiza .

Mabeki wa pembeni wa Yanga SC, Kibwana Shomari na Adeyum Salehe walionekana kumbana vilivyo Mchezaji  wa Simba SC, Bernard Morrison na kukosa nafasi ya kufurukuta katika mchezo huo licha ya ubora wa safu ya Kiungo kikiongozwa na Clatous Chama.

Simba SC imeshindwa kutangaza Ubingwa wa Ligi Kuu Bara (VPL) mbele ya Yanga SC sasa itasubiri michezo yake iliyobaki katika Ligi hiyo dhidi ya Azam FC, Namungo FC, Coastal Union na KMC FC.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Yanga Yaitungua Simba Bao 1-0
Yanga Yaitungua Simba Bao 1-0
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyn7Q51pTNwISnVqS7-U0qdTbtW5Q2-2wDd7vmQORJLv08BWwKz8XlY1ScOTaxUuD7EbkytuVx3a1xkLQDH9OnNAxBe48eaUHu8aYdSz2UgtJc6VjbUeCmGmse5mBLFnLT5QnzR05TqA3C/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyn7Q51pTNwISnVqS7-U0qdTbtW5Q2-2wDd7vmQORJLv08BWwKz8XlY1ScOTaxUuD7EbkytuVx3a1xkLQDH9OnNAxBe48eaUHu8aYdSz2UgtJc6VjbUeCmGmse5mBLFnLT5QnzR05TqA3C/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/yanga-yaitungua-simba-bao-1-0.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/yanga-yaitungua-simba-bao-1-0.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy