LEWANDOWSKI:INATOSHA KWA SASA KUWA NDANI BAYERN MUNICH
HomeMichezo

LEWANDOWSKI:INATOSHA KWA SASA KUWA NDANI BAYERN MUNICH

 MSHAMBULIAJI tegemeo ndani ya kikosi cha Bayern Munich, Robert Lewandowski amewaambia mabosi wa timu hiyo kwamba anahitaji kuondoka ili a...


 MSHAMBULIAJI tegemeo ndani ya kikosi cha Bayern Munich, Robert Lewandowski amewaambia mabosi wa timu hiyo kwamba anahitaji kuondoka ili akapate changamoto mpya katika timu nyingine.

Nyota huyo yupo kwenye kiwango cha juu muda wote awapo ndani ya uwanja na asilima 90 ndani ya Bayern Munich amekuwa akiibuka kuwa mfungaji bora wa ligi ya Uingereza maarufu kama Bundesliga.

Raia huyo wa Poland alianza kuweka wazi kwamba anahitaji kuondoka msimu uliopita lakini sasa ameanza kusema kwamba anahitaji kuondoka ili akapate changamoto mpya mahali pengine.

Ni Manchester City, Liverpool pamoja na Real Madrid zinatajwa kuwa na uhitaji wa kuipata saini yake hivyo akisepa ndani ya timu hiyo kuna uwezekano wa nyota huyo kuweza kuibukia kati ya timu hizo mbili.

"Nafikiri nataka chalenji mpya, nimefanikiwa kutwaa kila kitu nikiwa na Bayern na nafikiri sasa inatosha," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LEWANDOWSKI:INATOSHA KWA SASA KUWA NDANI BAYERN MUNICH
LEWANDOWSKI:INATOSHA KWA SASA KUWA NDANI BAYERN MUNICH
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzhbierB6MP_u1FqKaGHKZaD4-lrXhXfz__dQN0V3I90RhZ9FMKIhFGGLldaL-UhQRGLWOceOVXGYwIGK2dfxejpEW3pdNSgBAG4RVMtrZrlj3d8sah1JcCnl2dGnSmR-9uLRN0miYK5ZO/w640-h426/Lewandowsk.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzhbierB6MP_u1FqKaGHKZaD4-lrXhXfz__dQN0V3I90RhZ9FMKIhFGGLldaL-UhQRGLWOceOVXGYwIGK2dfxejpEW3pdNSgBAG4RVMtrZrlj3d8sah1JcCnl2dGnSmR-9uLRN0miYK5ZO/s72-w640-c-h426/Lewandowsk.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/lewandowskiinatosha-kwa-sasa-kuwa-ndani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/lewandowskiinatosha-kwa-sasa-kuwa-ndani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy