SIMULIZI ya Mwanamke ambaye alikutana na kashfa kutoka kwa Mama Mkwe aliyempa tabu Ndoa hukumbwa na changamoto mbalimbali ambazo hutokea...
SIMULIZI ya Mwanamke ambaye alikutana na kashfa kutoka kwa Mama Mkwe aliyempa tabu
Ndoa hukumbwa na changamoto mbalimbali ambazo hutokea bila ya wanandoa hata kujua kinyume na matarajio yao kwa wakati wowote. Katika mila na desturi za kiafrika kupata mtoto hua ni ishara kwamba ndoa imekamilika na kwamba huwa dhihirisho kwamba wanandoa wamekaribisha kizazi kipya kwa wakati wowote ule.
Mtu anapokosa mtoto katika mila zetu huwa ni ishara kwamba hawezi kuheshimiwa kabisa kulingana na makabila mengi hapa Afrika. Nilikuwa katika ndoa na mume Barrack na tuliishi kwa amani na hakuna lolote lililoonekana kwamba lingetutenganisha kwa wakati wowote ule.
Maisha yalikuwa mazuri hadi wakati ambapo niligundua kwamba sikuwa na uwezo wa kupata mtoto kwani nilikuwa tasa suala ambalo mume wangu alilipokea kwa hali nzuri kwani aliniahidi kwamba angenisaidia kwa hali yoyote ile kwani alikuwa ananipenda kama mke wake niliyetambulika rasmi.
Siku zilisonga na jamaa wa mume wangu walianza kejeli. Tulikuwa tukiishi na mume wangu kwao nyumbani na hivyo jamaa wake walikuwa karibu nasi kila wakati. Mara mama mkwe alianza kila mara ugomvi nami huku akifoka kwamba hakutaka kukaa na wanawake tasa waliokuwa tu wakila mali ya kijana wake.
Ama kwa hakika nilifahamu huu ulikuwa ni uchokozi ambao mama mkwe wangu alinielekezea. Mara nyingi nilimsikia akiongea na mume wangu huku akimuuliza ni lini ataanza kulipa karo ya shule kama wanaume wengine walivyokuwa wakifanya.
Ama kwa hakika alikuwa ni mama ambaye alipenda visirani kila mara kwani mume wangu aliwahi hapo awali kunipa historia yake. Hali ile ya kuwa tasa ilinipa kiwewe kwani hata mama mkwe alitaka mume wangu kunionyesha mlango.
Sikujua ningeanzia wapi kwani nilikuwa yatima na sikuwa na uwezo wa kujisimamia kimaisha iwapo mume wangu angenifukuza kwa wakati ule. Hali ile iliniacha katika msongo wa mawazo nisijue la kufanya kwa wakati ule.
Kila siku mama mkwe wangu aliamka na kejeli tofauti. Nilitafuta usaidizi kwa daktari Kiwanga ambaye nilikuwa hapo awali nimemsikia kupitia kwa rafiki yangu Loice ambapo alikuwa amemsaidia wakati mmoja kuwa na uwezo wa kushika mimba.
Kupitia kwa Loice nilipata nambari ya daktari Kiwanga na hapo niliipiga na daktari Kiwanga aliniangiza nifike ofisini kwake baada ya wiki moja na nusu hivi.
Nilingoja hadi muda huo ukatimia na hapo nilifunga safari ya kwenda mjini Kericho kwa daktari Kiwanga. Alinishughulikia nilipomweleza shida zangu. Alinipa wosia na hapo akanipa dawa ya miti shamba niliyokunywa.
Alinipa hakikisho kwamba uwezo wangu wa kupata mtoto ulikuwa umerejeshwa kwa wakati ule. Nilirejea nyumbani huku nikiwa na imani kwamba mambo yangekuwa salama. Baada ya siku tatu hivi nilienda hospitalini kupimwa na hapo nilishangaa kwani nilikuwa na mimba ya siku tano.
Sikuamini kabisa na hali ile ilipelekea niende katika hospitali nyingine na matokeo yalikuwa ni yale tuu. Hii ilikuwa ishara kwamba daktari Kiwanga alikuwa amenisaidia kuondoa aibu hii ya kuwa tasa.
Miezi tisa baadaye nilijifungua mtoto kijana. Daktari Kiwanga ana uwezo wa kuwezesha kuwa mtu wa bahati maishani. Ana uwezo wa kukukinga kutokana na adui zako wanaokutakia mabaya kwa wakati wowote ule kwa muda wa siku tatu utaona matokeo yake.
Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS