OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Yanga, Julai 3 wanaweza kuwafunga mabao matatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Yanga, Julai 3 wanaweza kuwafunga mabao matatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Ameweka wazi kuwa jambo la msingi kwa waamuzi ni kufuata kanuni na kwa namna walivyojipanga basi hazitapungua tatu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS