SIMBA KUTWA MARA MBILI, WACHEZA MECHI ZA KIRAFIKI
HomeMichezo

SIMBA KUTWA MARA MBILI, WACHEZA MECHI ZA KIRAFIKI

 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba kila siku wachezaji wao wanafanya mazoezi mara mbili kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya 2021/22 i...


 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba kila siku wachezaji wao wanafanya mazoezi mara mbili kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya 2021/22 ili waweze kutetea mataji yao.


Kwa sasa kikosi cha Simba kimeweka kambi Arusha kikiwa chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes akishirikiana na Hitimana Thiery.


Akizungumza na Saleh Jembe, Kaimu Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga amesema kuwa kambi inaendelea salama na wachezaji wanaendelea kupambana ili kuweza kuwapa furaha mashabiki wa Simba.


“Kwa upande wa kambi kila kitu kinaendelea vizuri na wachezaji wanaendelea na mazoezi ambapo kila siku wanafanya mazoezi mara mbili, asubuhi na jioni na muda mwingine itategemea mwalimu anahitaji kitu gani.


“Jambo la msingi ambalo tunahitaji kufanya ni kuona kwamba kuelekea Simba Day mambo yanakuwa na utofauti mkubwa. Mashabiki nao wameonyesha muitikio mkubwa kwa ajili ya tamasha  lao hivyo ni suala la kusubiri na kuona wale ambao hawajapata tiketi basi wafanye jitihada kuzipata,” amesema Kamwaga.


Simba kwa sasa inaendelea na kambi Arusha na imekuwa ikicheza michezo ya kirafiki ya ndani ilicheza na Coastal Union, Aigle Noir pamoja na Fountain Gate.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUTWA MARA MBILI, WACHEZA MECHI ZA KIRAFIKI
SIMBA KUTWA MARA MBILI, WACHEZA MECHI ZA KIRAFIKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgw9gF3RyzzZayS_O9CKbgMIdy0JTgaJnofmaBGyIL56fs5y5OzjzNiKPOY8ujsnF9fghU_PqnLAny1JAGwfLnHcSG0dOLknFR8IyTHFdVwE_0u-3lm7X_wcHCfEBIS9GUtZS_sMYdtYlmN/w512-h640/simbasctanzania-241836780_596330371390435_6685593522012778636_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgw9gF3RyzzZayS_O9CKbgMIdy0JTgaJnofmaBGyIL56fs5y5OzjzNiKPOY8ujsnF9fghU_PqnLAny1JAGwfLnHcSG0dOLknFR8IyTHFdVwE_0u-3lm7X_wcHCfEBIS9GUtZS_sMYdtYlmN/s72-w512-c-h640/simbasctanzania-241836780_596330371390435_6685593522012778636_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-kutwa-mara-mbili-wacheza-mechi-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-kutwa-mara-mbili-wacheza-mechi-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy