MENEJA wa Peter Banda, Mohamed Mshangama ameweka wazi kuwa mchezaji huyo alikuwa na ofa nyingi kutoka timu za Dar na alikuwa akimuuliza waka...
MENEJA wa Peter Banda, Mohamed Mshangama ameweka wazi kuwa mchezaji huyo alikuwa na ofa nyingi kutoka timu za Dar na alikuwa akimuuliza wakati mwingi kuliko timu kutoka Tanzania.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Alimuambia kwamba aweke wazi timu ambayo anataka kwenda ila alimficha siku ambayo anakuja Tanzania. Kuhusu kuwa mrithi wa Luis Miquissone ameweka wazi kwamba bado anamuda wa kufanya kazi kwa kuwa ana miaka michache.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS