Jeshi la polisi Mkoa wa Simiyu Lakamata vifaa vya mradi wa umeme wa Rea vyenye thamani ya tsh27,984,244 vilivyokuwa vimeibiwa.
HomeHabari

Jeshi la polisi Mkoa wa Simiyu Lakamata vifaa vya mradi wa umeme wa Rea vyenye thamani ya tsh27,984,244 vilivyokuwa vimeibiwa.

 Samirah Yusuph. Bariadi. Jeshi la polisi Mkoa wa Simiyu limekamata vifaa vya ujenzi wa mradi wa umeme wa Rea vyenye thamani ya tsh27, ...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 14, 2024
Sintofahamu ya Dkt.Slaa, hajafikishwa mahakamani, mawakili hawajui “kama amekufa ama la”
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 13, 2024


 Samirah Yusuph.
Bariadi.
Jeshi la polisi Mkoa wa Simiyu limekamata vifaa vya ujenzi wa mradi wa umeme wa Rea vyenye thamani ya tsh27, 984,244 vilikuwa vimepotea, vifaa hivyo vilivyolenga kukamilisha miundombinu ya umeme katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.

Katika taarifa iliyotolewa na kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu Richard Abwao imeeleza kuwa vifaa hivyo vimekamatwa katika operesheni ya usalama VII iliyoanza Julai 29, hadi Agosti 08,2021 ambapo jumla ya watuhumiwa 99 wamekamatwa kutokana na makosa mbalimbali.

Amevitaja vifaa vilivyokamatwa kuwa ni Base Plate type A & B jumla 35, Stay Wire Rollar 08 Mita 1,016, Pig Tail Bolt 300 na Barbed wire Rollar 12 Mita 2,160 vifaa vyote jumla vina thamani ya TShs 27,984,244.

"Kesi 33 zimefunguliwa katika vituo vya Polisi mbalimbali na jumla ya watuhumiwa 49 watafikishwa mahakamani ili kusomewa mashtaka, Wahumiwa 11 bado wapo chini ya uangalizi wa Polisi,"amesema Kamanda Abwao.

Aidha amesema katika operesheni hiyo pia wamekamata madawa ya kulevya aina ya Bangi kilo 4 na Mirungi kilo 270 pamoja na magari mawili yenye namba za usajili T.970 DDG aina ya RAUM na  T.637 DSQ aina ya TOYOTA PROBOX yaliyopatikana na Nyara za Serikali ambazo ni nyama mbichi ya Pundamilia, nyama kavu ya Nyemela, pamoja na ngozi ya Simba,

Katika taarifa hiyo ameeleza pia wamekamata mitambo mitano  ya kutengeneza pombe haramu aina ya gongo wizi wa Mifugo pamoja na wakimbizi 39 waliokuwa wanatoroka kambi ya wakimbizi Nyarugusu, Kigoma kuelekea nchi jirani ya Kenya.

Akielezea operesheni ya usalama barabarani amesema kuwa hadi sasa jumla ya makosa 476 ya usalama barabarani yamekamatwa na kukusanya faini ya tsh10,460,000.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Jeshi la polisi Mkoa wa Simiyu Lakamata vifaa vya mradi wa umeme wa Rea vyenye thamani ya tsh27,984,244 vilivyokuwa vimeibiwa.
Jeshi la polisi Mkoa wa Simiyu Lakamata vifaa vya mradi wa umeme wa Rea vyenye thamani ya tsh27,984,244 vilivyokuwa vimeibiwa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEkhMsvwg0XvN7JBJUbXUULJlUJ2FD7AVYfbkR0XIXbEa9kcRPc6nGiIUUJKcAugAXP39KWYZCSevt8g5uZMwaZ8MUZUq2_tTaw_PtCTAO3CbtLlOIpfDLWpae6cGo2WFeZVLMNAXgfTvW/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEkhMsvwg0XvN7JBJUbXUULJlUJ2FD7AVYfbkR0XIXbEa9kcRPc6nGiIUUJKcAugAXP39KWYZCSevt8g5uZMwaZ8MUZUq2_tTaw_PtCTAO3CbtLlOIpfDLWpae6cGo2WFeZVLMNAXgfTvW/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/jeshi-la-polisi-mkoa-wa-simiyu-lakamata.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/jeshi-la-polisi-mkoa-wa-simiyu-lakamata.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy