SIMBA MWENDO WA DOZI TU, YAIVUTIA KASI YANGA
HomeMichezo

SIMBA MWENDO WA DOZI TU, YAIVUTIA KASI YANGA

  KUELEKEA mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa Septemba 25, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amelazimika ku...

UJERUMANI YAIKANDAMIZA URENO YENYE CRISTIANO RONALDO
BEKI MCONGO ALIYEJIFUNGA YANGA MIAKA MIWILI ATAJA NAMBA YA JEZI ATAKAYOVAA
KIUNGO MZIMBABWE MIKONONI MWA SIMBA, INJINIA AIBUKIA MALI

 KUELEKEA mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa Septemba 25, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amelazimika kuwapa dozi nzito ya mazoezi mastaa wa timu hiyo ambapo sasa nyota hao wanafanya mazoezi mara mbili, hadi tatu kwa siku kwenye kambi yao nchini Morocco.

 

Simba waliondoka nchini Agosti 11, mwaka huu kuelekea Morocco kwa ajili ya kambi yao ya wiki mbili, yenye dhumuni la kukiandaa kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya wa 2021/22.

 

Baada ya kambi hiyo Simba itarejea nchini kwa ajili ya tamasha lao la Simba Day linalotarajiwa kufanyika Agosti 28, mwaka huu. Mara baada ya kumaliza tamasha hilo, Simba wataanza maandalizi ya mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa Septemba 25, kama sehemu ya ufunguzi wa msimu mpya.

 

Akizungumzia maandalizi ya kikosi chake kwenye kambi yao Morocco, Gomes alisema: “Tumekuwa na wakati mzuri wa maandalizi tangu tumefika hapa, kwa kuwa tuna kazi kubwa ya kutetea mataji yote tuliyoshinda msimu uliopita, tuna kazi kubwa ya kufanya tukiwa hapa.

 

“Vijana wanajituma sana licha ya kwamba tumewaandalia ratiba ngumu ya mazoezi, ambapo tunafanya mazoezi mara mbili hadi tatu kwa siku, ili kuhakikisha tunarejea tukiwa bora zaidi.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA MWENDO WA DOZI TU, YAIVUTIA KASI YANGA
SIMBA MWENDO WA DOZI TU, YAIVUTIA KASI YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcyVlzbm1lbTW7VjQ7r9aRaxeihk3xAkwnCGO4sUfdDvrk73mp5n3EDCcxFOMIoDwEJcrtlqs_MiQLBBHdKxSvrWf-BoHB75c6cp1Q2mVp3o3auaA-M19yS3j45hi9NHWX9B6_FDiocZJC/w640-h428/Simba+tizi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcyVlzbm1lbTW7VjQ7r9aRaxeihk3xAkwnCGO4sUfdDvrk73mp5n3EDCcxFOMIoDwEJcrtlqs_MiQLBBHdKxSvrWf-BoHB75c6cp1Q2mVp3o3auaA-M19yS3j45hi9NHWX9B6_FDiocZJC/s72-w640-c-h428/Simba+tizi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/simba-mwendo-wa-dozi-tu-yaivutia-kasi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/simba-mwendo-wa-dozi-tu-yaivutia-kasi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy