WANACHAMA WAKUBALI MCHAKATO WA MABADILIKO, WATANO WAPENDEKEZWA BARAZA LA WADHAMINI
HomeMichezo

WANACHAMA WAKUBALI MCHAKATO WA MABADILIKO, WATANO WAPENDEKEZWA BARAZA LA WADHAMINI

 SASA ni r asmi mchakato wa mabadiliko ndani ya Yanga utanedelea kama kawaida baada ya leo kupitishwa na wanachama. Kupitia mkutano wa Wa...

VIDEO: TAZAMA UFUNDI WA DICKOSN AMBUNDO ANAYEWINDWA NA YANGA
KOCHA SIMBA AWAPELEKA MKUDE NA AJIBU YANGA
VIDEO: MLEZI WA JONAS MKUDE AFUNGUKIA JUU YA SAKATA LA NYOTA HUYO

 SASA ni rasmi mchakato wa mabadiliko ndani ya Yanga utanedelea kama kawaida baada ya leo kupitishwa na wanachama.

Kupitia mkutano wa Wanachama ambao unafanyika leo Juni 27 Wanachama wa Yanga wamepitisha Mabadiliko ya Katiba yatakayowawezesha kufanya marekebisho ya Mfumo wa uendeshaji.


Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza kuwa hakuna Mwanachama aliyepiga kura ya hapana kupinga mabadiliko hayo, tasfiri yake ni kwamba mabadiliko hayo yamepitishwa kwa asilimia mia moja.

Mbali na hilo pia kuna wajumbe ambao wamependekezwa kuwa katika baraza la wadhamini.

Waliopendekezwa na kupitishwa na Mkutano Mkuu wa Yanga leo Juni 27, 2021 kuwa ndo baraza za jipya la wadhamini wa Klabu hiyo nipamoja na George Mkuchika, Geofrey Mwambe, Abbas Tarimba, Mama Fatma Karume na Mwigulu Nchemba


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WANACHAMA WAKUBALI MCHAKATO WA MABADILIKO, WATANO WAPENDEKEZWA BARAZA LA WADHAMINI
WANACHAMA WAKUBALI MCHAKATO WA MABADILIKO, WATANO WAPENDEKEZWA BARAZA LA WADHAMINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMSvmM1ROLNHotnjMb6qwNssRLfIsDzw0DVK-oVk00Bg4m0RaTCI1dgLaeRX45YYPn5mze9Fha4WSUf2hByblnOqJE85mIqGDLqgV4fF71BcxzGhwdHJcwBlSoTr8lbmH7VCr0nxLc4Ao8/w640-h530/yangasc-209025344_326377515632445_4272920078056920544_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMSvmM1ROLNHotnjMb6qwNssRLfIsDzw0DVK-oVk00Bg4m0RaTCI1dgLaeRX45YYPn5mze9Fha4WSUf2hByblnOqJE85mIqGDLqgV4fF71BcxzGhwdHJcwBlSoTr8lbmH7VCr0nxLc4Ao8/s72-w640-c-h530/yangasc-209025344_326377515632445_4272920078056920544_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/wanachama-wakubali-mchakato-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/wanachama-wakubali-mchakato-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy