KMC YAUNGANA NA WATANZANIA KUMLILIA MAGUFULI, YASITISHA MIPANGO KAZI
HomeMichezo

KMC YAUNGANA NA WATANZANIA KUMLILIA MAGUFULI, YASITISHA MIPANGO KAZI

 UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa sasa umesitisha mipango kazi yote kuhusu mazoezi kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania awa...

VIDEO: SIMBA: HATA TUKIFUNGWA MECHI ZOTE BADO NI MABINGWA
KOCHA ATOA MASHARTI ISHU YA USAJILI, YANGA KUSAJILI WATANO
MECHI ZA MZUNGUKO WA 33 ZAPELEKWA MBELE

 UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa sasa umesitisha mipango kazi yote kuhusu mazoezi kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano, John Pombe Magufuli.

Magufuli alitangulia mbele za haki Machi 17 kutokana na matatizo ya moyo kwa mujibu wa Samia Suluhu ambaye alikuwa ni Makamu wa Rais ila kwa sasa ni Rais kwa mujibu wa katiba.

Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa timu hiyo haijavunja kambi bali ilitoa mapumziko ambayo muda wake umekwisha na sasa wachezaji wamerejea kambini.

"Kambi hatujavunja kwa kuwa tuliwapa wachezaji wetu mapumziko ya muda nane ambapo yalipokamilika walirejea kambini Machi 20, baada ya taarifa ya msiba tukasitisha program zote.

"Baada ya taratibu za msiba kukamilika nina amini kwamba tutatoa taarifa kwa mashabiki na Watanzania ili kujua nini kinaendelea ndani ya KMC ila kwa sasa tunaungana na Watanzania kuomboleza kuondokewa kwa kiongozi wetu," amesema.

Leo Machi 26, mwili wa Magufuli unatarajiwa kupumzishwa kwenye makazi yake ya milele, Chato.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KMC YAUNGANA NA WATANZANIA KUMLILIA MAGUFULI, YASITISHA MIPANGO KAZI
KMC YAUNGANA NA WATANZANIA KUMLILIA MAGUFULI, YASITISHA MIPANGO KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbmABCAJGWUd1P-2kX2_atAfvVSHV7MlZ7kR2urFGpF5qDdZKmkD3pW06grpAUCA_M0qnFNoSD5QZzbX7RWiWRx7tbtLw6p3J27Vctze3BjD8_QuMVNep_k5C_tMfoqzbHswtwxH7p-I5T/w640-h380/Magu+saluti.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbmABCAJGWUd1P-2kX2_atAfvVSHV7MlZ7kR2urFGpF5qDdZKmkD3pW06grpAUCA_M0qnFNoSD5QZzbX7RWiWRx7tbtLw6p3J27Vctze3BjD8_QuMVNep_k5C_tMfoqzbHswtwxH7p-I5T/s72-w640-c-h380/Magu+saluti.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kmc-yaungana-na-watanzania-kumlilia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kmc-yaungana-na-watanzania-kumlilia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy