WAARABU WA MISRI WAIPIGIA HESABU SAINI YA LUIS
HomeMichezo

WAARABU WA MISRI WAIPIGIA HESABU SAINI YA LUIS

  KLABU mbili za Afrika kutoka Misri zimeingia anga za kuwania saini ya nyota wa Simba, Luis Miquissone ili kupata saini yake. Waarabu h...

VIDEO: ONYANGO: KIPINDI CHA KWANZA TULIKUWA NYUMA, AWAOMBA MASHABIKI MBELE YA YANGA
ORODHA YA NYOTA SITA YANGA AMBAO MIKATABA YAO INAELEZWA KUFIKA UKINGONI
VAN DIJK AANZA MAZOEZI, AREJESHA MATUMAINI

 


KLABU mbili za Afrika kutoka Misri zimeingia anga za kuwania saini ya nyota wa Simba, Luis Miquissone ili kupata saini yake.

Waarabu hao wa Misri ni Pyramids na Al Ahly ambazo zinataja kufuatilia kwa karibu mwendo wa nyota huyo mwenye mabao mawili kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kocha wa Al Ahly, Pitso Mosimane aliwahi kufanya kazi na Luis na aliweka wazi kwamba miongoni mwa wachezaji ambao walimpa tabu alipokutana nao Uwanja wa Mkapa alikuwa ni Luis.

"Luis ni mchezaji mzuri na anajua namna ya kufanya akiwa uwanjani hasa pale anapotafuta matokeo kwa ajili ya timu.

"Ninamtambua kwa sababu nimefanya naye kazi na anajua kukaa kwenye nafasi," .

Katibu Mkuu wa Simba, Arnold Kashembe amesema kuwa taarifa hizo bado hazijafika mezani.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WAARABU WA MISRI WAIPIGIA HESABU SAINI YA LUIS
WAARABU WA MISRI WAIPIGIA HESABU SAINI YA LUIS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPvgdRCskhNufSFWcGXIhuvsNGIWP270w6UfxEBqqCER8L1q6z7Q4_RQ_V4mPN0m3qPrX3NW4g-K58bBE-Gsj5HLCvMi3gpbkvJIr1Xg1fYogasS4fUHW8rXlYu43_nSElY-bHTMpQ68Nu/w640-h436/Luis+na+kijiji.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPvgdRCskhNufSFWcGXIhuvsNGIWP270w6UfxEBqqCER8L1q6z7Q4_RQ_V4mPN0m3qPrX3NW4g-K58bBE-Gsj5HLCvMi3gpbkvJIr1Xg1fYogasS4fUHW8rXlYu43_nSElY-bHTMpQ68Nu/s72-w640-c-h436/Luis+na+kijiji.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/waarabu-wa-misri-waipigia-hesabu-saini.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/waarabu-wa-misri-waipigia-hesabu-saini.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy