KIUNGO mshambuliaji wa Dodoma Jiji ambaye amewahi kucheza Alliance, Dickson Ambundo anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga inayonolewa na Kocha ...
KIUNGO mshambuliaji wa Dodoma Jiji ambaye amewahi kucheza Alliance, Dickson Ambundo anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata. Nyota huyo ametupia jumla ya mabao matatu na ana pasi nne za mabao. Huu hapa ufundi wake akiwa ndani ya uwanja.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Video Credit:Azam TV
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS