KOCHA SIMBA AWAPELEKA MKUDE NA AJIBU YANGA
HomeMichezo

KOCHA SIMBA AWAPELEKA MKUDE NA AJIBU YANGA

  K OCHA wa  viungo wa Klabu  ya Simba, Adel  Zrane, raia  wa Tunisia,  ameweka wazi kuwa kama  itatokea kukawa na ulazima  wa viungo wao...

 


KOCHA wa viungo wa Klabu ya Simba, Adel Zrane, raia wa Tunisia, ameweka wazi kuwa kama itatokea kukawa na ulazima wa viungo wao wawili wa klabu hiyo ambao ni; Jonas Mkude na Ibrahim Ajibu kuondoka kikosini hapo, basi anatamani kuona wakisajiliwa na timu kubwa kama Yanga.

 

Mkude anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga huku Ajibu mkataba wake Simba ukitarajiwa kufika ukingoni mwishoni mwa msimu huu, na kumekuwa na taarifa kuwa wachezaji hao wanahitajika na mahasimu wa Simba, Yanga ambapo tayari inaelezwa wachezaji hao wamesaini mikataba ya awali.


 

Akizungumza na Championi Jumatano, Kocha Zrane alisema: “Nimekuwa nikisikia taarifa nyingi kuwahusu wachezaji wetu Ajibu na Mkude ambao wanatajwa kuwa kwenye uwezekano wa kujiunga na Yanga.


"Unajua suala la usajili haliko kwenye mikono yetu, sisi tunatoa mapendekezo halafu ni uongozi na mchezaji husika ndiyo hufanya maamuzi.

 

“Mkude na Ajibu wote ni wachezaji wazuri, na kama itatokea kuwa kweli wanaondoka basi ningefurahi kuona wanakwenda timu kubwa kama Yanga, ili wazidi kukuza viwango vyao kupitia ushindani uliopo kwenye hizi timu kubwa.

 

“Kama kocha nisingependa kuona mchezaji yeyote anaondoka Simba, lakini kuna wakati unafika inawezekana kufanya hivyo kukawa na faida kwa Simba, hivyo nawatakia kila la kheri wale watakaoondoka, naamini watafanya vizuri huko waendako na inawezekana wakarejea tena Simba," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA SIMBA AWAPELEKA MKUDE NA AJIBU YANGA
KOCHA SIMBA AWAPELEKA MKUDE NA AJIBU YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZK-vZoI4qhTuQ1gsum2DhCULO0yUGzGsZq4h1oHLhgs-SvgWxUoW0ONH6dxdxWphyphenhyphen1V949C7T63Kc8eHUdvLd0l3U2vAgnpe8FAhrYNEUej8K2RDjlk6Sm8-zXR6Gzz_iGGlIs88532Wv/w640-h640/ibrahimajibu23-39323382_211492849721496_6987136364311478272_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZK-vZoI4qhTuQ1gsum2DhCULO0yUGzGsZq4h1oHLhgs-SvgWxUoW0ONH6dxdxWphyphenhyphen1V949C7T63Kc8eHUdvLd0l3U2vAgnpe8FAhrYNEUej8K2RDjlk6Sm8-zXR6Gzz_iGGlIs88532Wv/s72-w640-c-h640/ibrahimajibu23-39323382_211492849721496_6987136364311478272_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/kocha-simba-awapeleka-mkude-na-ajibu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/kocha-simba-awapeleka-mkude-na-ajibu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy