MLEZI wa nyota wa Simba, Jonas Mkude ambaye amesimamishwa kwa muda na kamati ya nidhamu amesema kuwa nyota huyo amepita kwenye mikono yake n...
MLEZI wa nyota wa Simba, Jonas Mkude ambaye amesimamishwa kwa muda na kamati ya nidhamu amesema kuwa nyota huyo amepita kwenye mikono yake na alikuwa ni mtu ambaye hana tatizo naye kuhusu suala la utovu wa nidhamu jambo ambalo linamfanya azidi kujiuliza nini tatizo ambalo linamsumbua Mkude.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS